Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Beautiful Arusha.
IMG_5306.jpeg
IMG_5298.jpeg
IMG_5296.jpeg
IMG_5293.jpeg
 
Kuna IG page flani mwarabu bandia anapenda kushare hapa, huyo admin hupost supercars za Ghana and other African countries alafu andanganya bongolalas zimefika Dar port. 🤣 🤣 🤣 Hakuna watu rahisi kudanganya kama hawa bongolalas. They are very gullible. 🤣 🤣 🤣
Kwanza hata hapo sio Dar, sikuwa nimeangalia hizo pictures vizuri😂😂😂

Look at that bridge pale nyuma.
1741254302943.png
 
Kwanza hata hapo sio Dar, sikuwa nimeangalia hizo pictures vizuri😂😂😂

Look at that bridge pale nyuma.
View attachment 3261088
Sema inaonekana huwa unaumia sana ukiona Tz ipo mbele eeh.? 🤣🤣

Imagine ulianza kusema gari ni ya kinsasha congo, ukaleta hadi ushahidi wa videos, na wenzako wakaku support. 🤣🤣🤣

sahii umeona hata, haiwezekani, umerudi kuitafuta picha ukaikagua tena upya. Sahii umekuja Tena unasema picha haikupigwa bongo. 🤣🤣🤣

Hold on. Mbona nyie watu ni waongo sana.?
Kwanini Tz inakuuma sana.? 🤣🤣
 
Mbona mnapenda uongo? Hapa ni Dar is slum?

1741255787888.png
 
Back
Top Bottom