AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 722
- 2,123
Huyu chizi anafikiri lile tishio la kuweka vikwazo Kwa nchi nane duniani Kwa kushirikiana na Korea ya kaskazini kijeshi Tanzania tuliingia burebure?
Swadaktaa!
Hii Nchi kuna mambo inafanya vizuri sana na kwa ukubwa wa viwango vya juu. Ila kikawaida tuna chukulia poa tu.
Mzee Mahiga (RIP) ndio akatuvusha salama kwenye ile kadhia.