Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu chizi anafikiri lile tishio la kuweka vikwazo Kwa nchi nane duniani Kwa kushirikiana na Korea ya kaskazini kijeshi Tanzania tuliingia burebure?

Swadaktaa!

Hii Nchi kuna mambo inafanya vizuri sana na kwa ukubwa wa viwango vya juu. Ila kikawaida tuna chukulia poa tu.

Mzee Mahiga (RIP) ndio akatuvusha salama kwenye ile kadhia.
 
Kuna mambo yanaboa sana watu Sio professional wapo tu 🀬😑 ujinga mwingi
 
Kama pastor mwanangu 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…