Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
View: https://vm.tiktok.com/ZNddUjgqa/ kundustan imelaaniwa,sidhani hata kama somalia wanaweza kutumia usafiri kama huu
You are soo easy to bait (hook, line and sinker .) 🤣🤣🤣.. thank you for this …😄😄View attachment 3275501
Bwaku ngaji
Hii awamu maujinga ni mengi sn, uwanja hauishi kila siku hvyo hivyo, umekuwa kama wa kasarani, hauishi..Upuuzi upuuzi sana. Why wasiende maeneo ya hadhara kazi kuharibu uwanja wa Mkapa ulio kwenye matengenezo.
Hii akili Gani?
Inakera sn. Uwanja upo vile vile alafu eti wanataka uchezwe afcon, hakuna mabadiliko ya mana pale huwa naona upo vile vile kila siku, mwaka wa pili huu, nilifurahi walivyo ufungia.Mkapa upo kwa MATENGENEZO Na bado upo UNAFANYA MATAMASHA YASIYO NA ULAZIMA. Kwanini wasiende JNICC, TANGANYIKA PACKERS, MNAZI MMOJA, etc.
Wakati mwingine tunalaumu mkandarasi bure. Mtu mwenyewe hayupo huru na kazi, tuseme atang'oaje viti vyote ikiwa kuna kalenda za event kila kukicha, atang'oaje vyoo?
Pitch atang'oaje?
Yaani anaishia kupiga gypsum tu na rangi huku 30 billion ziniateketea, jamaa wa government hawajui kuchelewesha mradi kunakula hela?
Since you wanna continue dueling in the backyard mud , I got plenty 4u . I told you are easy to bait …😄😄… this shoe ( Air Jordan 6 Wheat) … was released between the years 2000 to 2002 ( i know coz i had a pair)… You told the whole world you were in the USA 🇺🇸 in 2015 ( the record is there)… so let’s get this straight, you were wearing a 12 year old shoe in America?…that’s unheard of unless you were either homeless or a street beggar or both…. Am not done yet !…first digest that fact ..🤣🤣View attachment 3275501
Bwaku ngaji
These shoes came out calendar years 2000-2002 .. and some Bongo Ninja was stunting them in 2015 somewhere in a corner street of an American city … 🤣🤣🤣View attachment 3275501
Bwaku ngaji
Ethiopia signs a deal with Korea to build railway to Lamu. LAPSSET Lazima.
View: https://x.com/EthiopiaPE/status/1899733641879523718