Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulishamuona Rais Ruto akiapishwa na Rais mwingine?

Zanzibar in Mkuu wa Mkoa tu ambaye anaapishwa na Rais wa Tanzania kama wakuu wa mikoa na wilaya.
 
16. Bahati Affordable Housing, $10M

Total is now $1.115B


View: https://x.com/BiancaNaom1/status/1895480792060760135

wewe unatakuwa una matatizo makubwa ya akili! Unajua one billion dollar lakini? Acheni uongo uongo. Tupe jina la project nzima tutafute thamani yake.

Hii ni Amber Resort Zanzibar ni over $1.5B ona jinsi ilivyo na fananisha na vigorofa vyenu uchwarwa mnadai eti ni $1.1B. Kuna Hospital mpaka airport.

1742603858682.png


1742603941036.png



1742604235076.png
 
Back
Top Bottom