Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo tulisema hawataonekana hapa kitu marcopolo kimetua dar kinawaumiza kichwa usd 450,000 per unit kwa unit 40 tu zinazid miradi yao yote ya industrial park
Ukitaka kujua wameumia, hakuna mkenya kacoment kwenye zile marcopolo, so now tumewqpiga nje ndani 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ulishamuona Rais Ruto akiapishwa na Rais mwingine?

Zanzibar in Mkuu wa Mkoa tu ambaye anaapishwa na Rais wa Tanzania kama wakuu wa mikoa na wilaya.
 
16. Bahati Affordable Housing, $10M

Total is now $1.115B


View: https://x.com/BiancaNaom1/status/1895480792060760135
wewe unatakuwa una matatizo makubwa ya akili! Unajua one billion dollar lakini? Acheni uongo uongo. Tupe jina la project nzima tutafute thamani yake.

Hii ni Amber Resort Zanzibar ni over $1.5B ona jinsi ilivyo na fananisha na vigorofa vyenu uchwarwa mnadai eti ni $1.1B. Kuna Hospital mpaka airport.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…