Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Hapana hiyo sababu, kwa kesi ya magugu kwenye maeneo mengi Mwanza ilikua hivi, last 5 or 4 years maji yaliongezeka kina lake victoria, magugu yakapanda juu, kwenye maeneo mengi mno. Baadhi ya maenei private waliyaondoa magugu mfano rock beach garden, ila hapo yaliendelea kubaki.So Solution ya kuyaondoa yanarudi yanatokana na poor water quality high nutrients from household n industrial waste water!