Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna pesa hosting nation hupewa. But how will you know when hata kuhost sherehe za kuchi ja imewashinda?

Again those cars and gadgets were ferried by Kenya airways. Najua wivu ndio inawasumbua wewe mkimbizi.
mulipewa bei gani ikiwa munatumia over 1b ksh kutoka mfukoni mwenu 😂😂😂

eti zililetwa na kenya airways 😂😂😂😂

akili zenu nyinyi zimejaa funza kila politician anawaza kuiba pesa tu
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
Fala umefika bongo unaona umefika ulaya .? Tena bongo enyewe Arusha ambayo unavuka kimagendo 🤣🤣🤣🤣 ***** kweli hili jamaa. Hapa kundurenda kuna nini cha kuona.?

Tena kufika kwako Arusha enyewe ni kwasababu Arusha na Naipori ni pua na mdomo, fika hata Dar uone treni ya umeme na blue buses. 🤣🤣🤣 kama kweli unajiweza.

Unafika Rusha unazurura kwa miguu kama mbuzi. Eti unasema i am not your mate. 🤣🤣🤣 vutuko vya dunia hii
 
That is the worst of the worst in Nairobi, but in Vumbistan, hizo nilizopost are the ONLY ones. Infact sikuchagua picha mbovu mtandaoni, I just took a random photo in the streets and all if them are that model. Kama hiyo ndio average yenu Sasa nikipata worst of the worst itakaaje? Btw, hiyo hiace umepost ni newer model kuliko yenye from my Arusha photo.

View: https://vm.tiktok.com/ZNdRSWSns/ sawa,hii min bus ni new model ya 2025
 
Tembea kwanza. Fika Nairobi ndio ufike ligi ya kupingana nami. Vuka border for once utoke Bongolala. For now endelea kubishana story za Simba na Yanga hapo vijiweni. You're not my mate.
downloadfile-80.png

Naipumbu ipi unayooiongelea,ya kwenye hii picha au nyingine 😂
 
Alafu mbona Wabongo hamuachani na hizi vihiace vya 1980s? Yani hata vya 1990s havipo. Barabarani naona tu kuanzia 1989 kurudi nyuma.

View attachment 3282041

Ati least kwa Arusha zimeanza kuondolewa mdogo mdogo siku hiz wameintroduce Costas
Sasa wew mbona ushangai Jiji kuu la Nairobi kuwa na vipanya. Uko unashangaa Arusha the third largest city ya Tanzania. Leta usafiri wa Kisumu ulinganishe
1742735356844.jpg
 
Hii baboon huwa nikiangalia alafu niangalishe na huyo jamaa huwa nacheka sana. Yani wamefanana kabisa, someone might think that they share parents😂😂😂🤣😂

View attachment 3282187
Tafuta kwanza hela ununue nguo za ndani. 🤣🤣🤣 nabishana na maskini ambae uso wako ukiiweka humu utahama uzi huu.embu ngoja nikukumbushe wewe ni nani. 👇🏾wew ni huyu
IMG_5844.jpeg
IMG_5843.jpeg
umeparara. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom