MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Vinatakiwa Viwanja 6, Tanzania inaviwanja 4 vyote vya kimataifa
Wapi hizo viwanja 4 unaongelea?😂😂Vinatakiwa Viwanja 6, Tanzania inaviwanja 4 vyote vya kimataifa
Dar es SalaamWapi hizo viwanja 4 unaongelea?😂😂
Ebu nionyeshe hizo Stadiums za Dodoma na Arusha tuone.😂😂Dar es Salaam
Arusha
Sodoma
Zanzibar
Kariakoo ni disaster. Bodaboda na bajaji wanapark na kupita kila mahali. Msimbazi street sio poa aisee.Dar es Salaam ya Amos Makala ilianza kuvutia ikawa safi,biashara zilianza kuwa za mpangilio ila alipokuja Chalamila dash mambo yamebadilika ghafla
Tent wakati hamna stadium iko fully covered Ukunyani?Ebu nionyeshe hizo Stadiums za Dodoma na Arusha tuone.😂😂
Alafu hile Tent ya Zanzibar usitaje place stadiums za maana zinatajwa. Tanzania only have Makwapa Stadium as of now.
Hiyo Tent ya Zanzibar hata haiwezifikia Kirigiti and Kinoru Stadium which are fully covered.Tent wakati hamna stadium iko fully covered Ukunyani?
Sikutajii; nione utafanya nini wewe nyang’au😎😎😎Ebu tutajie one Tanzanian company in Kenya.
🤣 🤣 🤣 Nakumbuka wakitucheka, Oooohhh sijui jirani hana dollar, who's laughing now? Now it's payback time. Revenge is a dish best served cold. 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1905713146637238686