Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Duh hii gape tunalowapiga hawa mbwa ni balaa 🤣🤣 yani kama Yanga anakusanya 545 million Tsh = 27 million Kenya sh while ka team kao kanakusanya 1.5 million kenya sh. 🤣🤣 hii labda ishindane na ihefu au coatal union ya Tanga.Angalia hii “dabi” 😂😂😂View attachment 3288029