Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Duh hii gape tunalowapiga hawa mbwa ni balaa π€£π€£ yani kama Yanga anakusanya 545 million Tsh = 27 million Kenya sh while ka team kao kanakusanya 1.5 million kenya sh. π€£π€£ hii labda ishindane na ihefu au coatal union ya Tanga.Angalia hii βdabiβ πππView attachment 3288029
Nilimuambia anipe mapato ya timu hadi muda huu hamna kitu.Kijamaa kinajaribu kugusa gusa kila mahala kikidhani labda kuna sehemu atatoka mshindi. π€£π€£π€£
Sasa ni kapumbavu kwasababu kanadhani inawezekana eti league iwe nafasi ya nne Africa halafu kuwe na mapato hafifu..
sasa ingewezekanaje kuiendesha.? Wachezaji wa quality kubwa utawalipa vipi pasi na kuwa na fedha za kutosha.? Na hizo fedha zinatoka wapi kama si gates collections, mauzo ya jezi wadhamini.?
Sasa hiyo ni gate collection ya siku moja. π€£π€£π€£ yaani 90 minutes.Pesa za Shabana Fc half season
Fake, it's Afc leopard vs Gor Mahia. Home team ni AfcAngalia hii βdabiβ πππView attachment 3288029
Hao sindio wanaochezaga mashemeji dabi.? π€£π€£π€£. Hizo pesa tunataja sisi yeyote kati ya Simba na Yanga wakicheza anaeza kupewa inategemea nani atakua home team siku hiyo.Fake, it's Afc leopard vs Gor Mahia. Home team ni Afc
KUMBE KIPINDI CHA JPM MAVI YALIKUA YANAGONGA CHUPI HUKO UKUNYANI ASEE πππHii video ya Bertin imewatesa sana kunyarenda republic.π€£π€£ππΎ
View: https://youtu.be/X6NmEDOS1y0?si=FnkbeGt2kBPCMEzM. Angalia comment section. Mtu mmoja ame suggest Dar ipate metro kama zile za duniani. Bertin akamjibu plan ipo tukimaliza phase BRT phase 6. ππΎView attachment 3287188mbongo mmoja akamchallange Bertin π€£π€£ mchizi akamjibu, chuki za mkenya (Fetiwap) hizi baada ya majibu ya Bertin ππΎπ€£π€£π€£View attachment 3287189jamaa wanaumia sana wakiona tunaendelea. But why.? π€£π€£
We Kenge hebu punguza mdomo kwani hujui Hiyo Talaka yenu mnayosifia humu inafadhiliwa na TASAF kupitia BAMBULI CEMENT?.Ebu tutajie only one Tanzania company operating in Kenya.
Filled na baadae wanakuja sema ni 17k people?Kenyans have filled Nyayo Stadium for two consecutive weeks.
Gor Mahia Vs FC Leopards.
Huyo kenge muache, kuforce kujulikana tu wakati wachezaji wanalipwa bei ya Unga wa Dona.Niko sure uko sehemu umetulia ukasema wacha nibishane na hizi kondoo, huwezi linganisha ligi ya wakulima na ligi namba nne kwa ubora. πππ
View: https://x.com/rabsonkelvin/status/1440592913361096709?s=46
Kiwanja kina capacity ya watu 20k vijamaa humu vinasema ni 30k. π€£π€£π€£.Filled na baadae wanakuja sema ni 17k people?
Na stadium capacity ni 20k
View: https://www.instagram.com/reel/DHn-UW1ym7w/?igsh=NWY1bGlyMTB0b2dq
Weka hapa.Gor collects Ksh8M per game in gate collection. Multiply that by 19 home games then multiply by 20.5 to get your figures in pesa yenu ya madafu.
Sema wajaluo filled the cowshed, mpira wenu ni ethnicity influenced kama siasa zenu tuKenyans have filled Nyayo Stadium for two consecutive weeks.
Gor Mahia Vs FC Leopards.
Baadae watakuambia hawafatilii issues za Tanzania na huyu ni mbunge wao ππ
Yani fukara ni fukara tu, sasa ksh75k ni Sawa na tzs 1,275,000 sasa hiyo ni pesa ndogo sn, only fukaraz can brag about it, kuna vitu ukiangalia unagundua kabisa una debate na mtu wa aina gn that's why nikampiga ban ku debate na mm, hana hadhi hiyo, background yake inaonekana mbovu sn.source au proof ya wee kuwa na uwezo wa kuingiza hiyo hela kwa siku. sababu hakuna kinachoverify wewe kuwa na hizo hela
Kavutiwa na sportpesa ππππBaadae watakuambia hawafatilii issues za Tanzania na huyu ni mbunge wao ππ
View attachment 3288083