babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,561
- 36,329
Analazimisha watu waumie kwa kuandika anapenda watu wakiumia! 😂😂😂Tuumie kisa nini sasa? 😂
Mnaonekana wehu kwa kufananisha kifo na usingizi, siku pia mziki wenu ukisikika Burundi mtawehuka hivi hivi kumbe kwa wengine ni normal 😂
Yaani 60k fans analinganisha na 17k fans!