Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu ambacho kinatajwa kuwa kibaya ni female circumcision (Female genital multination) the act of removing clitories. Hii Ndio wazungu walikuja kusema tuache (hata bongo tulipiga marufuku hii). Lakini wazee walifanya hii intentionally ili kuondoa those female pleasure parts in order to make them work hard.

Lakini hii male circumcision ni religious act imefanywa tangu dunia inaanza. Na Abraham aliifundisha hii. 👇🏾View attachment 3290188sasa ikiwa Abraham alifundisha hii na ipo kwene bibilia. Na wewe nimeona ukisema ulilelewa na Catholic church, kwahiyo kichaa ya kukaa darasani umetoka patupu.? 🤣🤣🤣 Yani umekaa darasani since class 3 na umetoka zuzu hivyo hivyo.?

Unakuja hapa unasema mi uchawi kutahiriwa.? 🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾. Mzee nenda hospitali hiyo ni aibu kubwa.
99% of people in the world are religious. Unajua Mbona wewe ni maskini? Is because instead of working hard you either believe in the bible or Quran to give you money. Continue believing in religion.
 
Kwahiyo saivi we haumini tena kwenye dini ili uendelee kubaki na govi lako.? 🤣🤣🤣.
I believed in religion during my younger years, when i learned that religion is a place for poor people I took some step back. Wewe endelea kuamini fantasy world.
 
I believed in religion during my younger years, when i learned that religion is a place for poor people I took some step back. Wewe endelea kuamini fantasy world.
Kwamba religion ni place for poor people.? 🤣🤣🤣 top 3 richest men in EA them all Muslims. The rest are either christians or Muslims and them all circumcised. Kuna mpagani yeyote mwenye govi mwenye ni tajiri unamjua.? 🤣🤣🤣

Bro ficha hii aibu nenda katahiriwe. Ukija Tanzania kama una govi pale boder hawatakuruhusu kuingia. 🤣🤣🤣
 
“Soksi” 😂😂😂
 
Screenshot_20250328_182814_Photos.jpg

Ww govinda hii built ya wapi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii kali ya mwaka. Kwahyo kumbe una govi.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Uncivilized. Bro umezaliwa kijiji gani.? 🤣🤣🤣🤣🤣.

Nicxie nae nimeona ume like post ya mpumbavu mwenzako, mkijivunia kuwa na magovi. 🤣🤣🤣.
kumbe siku zote hizi tunajibizana na watu Wana magovi ?
 
Kwamba religion ni place for poor people.? 🤣🤣🤣 top 3 richest men in EA them all Muslims. The rest are either christians or Muslims and them all circumcised. Kuna mpagani yeyote mwenye govi mwenye ni tajiri unamjua.? 🤣🤣🤣

Bro ficha hii aibu nenda katahiriwe. Ukija Tanzania kama una govi pale boder hawatakuruhusu kuingia. 🤣🤣🤣
"Religion is the opium of the poor" - Karl Max

The way you argue your points inaonyesha tu hukufanikiwa kusoma sana, na kama ulisoma ulienda shule tu kupoteza wakati.
 
Back
Top Bottom