Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,324
- 18,182
That's an electric bus kijana wa Tandale, the first of its kind in East Africa. Usinganishe na zile boxes zenu ambazo abiria hugomeaMnapenda kumbe vitu kama hivi eeeehh, tatizo hilo basi halifanani na mazingira yaliyopo hapo, basi la kupigia picha, linakaa foleni masaa 10, kama sio uchale ni nn?