chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Mbona wapo wenyewe sasa? 😂😂😂 Na gatekeeper wakimaliza stadium ya watu ifungwe 😂When will lazy country achieve something like this?
Kenya Women is World Champion.
View attachment 3302115
Mbona wapo wenyewe sasa? 😂😂😂 Na gatekeeper wakimaliza stadium ya watu ifungwe 😂When will lazy country achieve something like this?
Kenya Women is World Champion.
View attachment 3302115
ndio munavodanganywa hvo 😂😂😂Hapo Utopolo lazma mfurukute mpaka mpate lenu pia!
Wana lafudhi mbovu iliyochanganyikana na lugha za makabila.Anaongea election au erection? Anaongea kuhusu leader are reader? 😂😂😂 English yao ni futuhi impunity imekua immmbbbyyyyunite
Simba inakua club ya pili East Africa kumiliki Mercedes Benz iriza i6. Baada ya hii ya Azam 👇🏾View attachment 3302215View attachment 3302216ya simba inaoneshwa tarehe 16 kesho kutwa. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/p/DIXDz_XNxZ8/?igsh=anE2dmhsaHM0Yndn. Kenyan football club can’t relate. 🤣🤣

unafurahia kifo au sio 😂😂😂😂Ndio mnatengeneza milk powder ya kwanza 2025? Kweli Tanzania ukuanga backward sana😂😂😂🤣.
Kenya made these things in the 1970’s.
They can't build anything on their own 😁Mbona unatuletea maboma ya wakoloni budaa.? 🤣🤣🤣 majumba mabovu.
They look like eastern Europe project houses for poor peopleHizi utafikiria ni nyumba za kutunzia wazee kule Europe 😁😁
My grandpa made me tea with this …kweli Bongo iko Nyuma sanaNdio mnatengeneza milk powder ya kwanza 2025? Kweli Tanzania ukuanga backward sana😂😂😂🤣.
Kenya made these things in the 1970’s.
Sisi tuna dili na mambo makubwa kama uwanja sio hayo mambo madogo madogo.Hapo Utopolo lazma mfurukute mpaka mpate lenu pia!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wana lafudhi mbovu iliyochanganyikana na lugha za makabila.
JF ingekuwa na sehemu ya voice note tungecheka sana. 😂😂😂
Bidhaa zipo za Milk Powder kutoka kenya?Nilidhani hii habari ingekutoa machozi lakini kwasababu ni mpumbavu unajichekesha. Hizi ndio zilikua bidhaa za kenya zenye utapatananazo kwenye shelves za maduka za bongo. But guess what.? They will no longer be there. Mnampoteza Mteja muhimu kabisa. You are done. 🤣🤣🤣
😂😂😂 Na English pia hawajui, caption kaandika immunity kwenye video anasema immbbbyyyuunite anamquote mtu anaesema impunity 😂😂😂 huyu acha wamuabduct tuWana lafudhi mbovu iliyochanganyikana na lugha za makabila.
JF ingekuwa na sehemu ya voice note tungecheka sana. 😂😂😂
Kenya was under queen ElizabethMy grandpa made me tea with this …kweli Bongo iko Nyuma sana
View attachment 3302542
Haah ankal usiharibu vibe yajayo yanafurahisha naona zungu semaji lenu limevuliwa nguo na toto Zaylisa! Anachafua sana image ya Yanga maana mnaonekana vilevile!ndio munavodanganywa hvo 😂😂😂
ushindi wenyewe wa kusuasua mpaka penalty watu wameshkilia roho zao wengine walizimia kabisa
Kampuni ya Uganda hii!My grandpa made me tea with this …kweli Bongo iko Nyuma sana
View attachment 3302542