Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Jux katuwakilisha vyema,juzi kati nilikutana na wapopo sehemu,katika kuulizana tunapotokea,nilipowaambia natokea TZ,wakaanza kuniita juxiiii 😄Jamaa amejipatia umaarufu mkubwa huko West Africa 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥