Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is beautiful

Image

Image
Siku mkifikia level hizi za 🇹🇿 uni tag 👇👇

View: https://x.com/VisitTanzania1/status/1910198546151727596?s=19
 
Haha kweli yaan eti rostam ainvest Kenya kuliko alivyowekeza Tanzania itakuwa unaota ebu fuatilia amson owner anamiliki Nini tena tanzania

Tanzania hatutambuani kwa rangi na makabila bali kwa uraia . Nachojua mmiliki wa amson ni mzaliwa wa tabora na sio uarabuni
Hao ni warabu acha kulazimisha mambo. Mtanzania ni wewe unayeomba mapicha sababu hamna uwezo.
 
Unacompare basi ya 35 million na viatu box tatu. 🤣 🤣 🤣 we ni wazimu.
Basi la 35mil linanunuliwa baada ya miaka miwili . Total order of Kenyan buses kwa mwaka mzima au ununuzi wa mabasi ya kikenya kwa mwaka haufuki hata 100 units. Ila Kila siku ukieenda namanga Kuna msururu wa trucks kwa zaidi ya km 2 mbili zinaleta mizigo Kenya vikiwemo viatu. Mtu akipiga trip 10 tu kwa miezi 6 kashazid dhaman ya basi wakati nyinyi hata deni la mkopo wa basi linakiwa halijaisha.
Kwa kununua mabasi Kenya tunawafanyia msaada msife njaa , ndo maana mnaona tunaagiza units 100 kwa mwez toka china Kila mwezi ila tunanunua units zisizozid 10 toka Kenya kwa mwaka mzima
 
Hao ni warabu acha kulazimisha mambo. Mtanzania ni wewe unayeomba mapicha sababu hamna uwezo.
Kwikwi ndo maana tunawambia hamnaga akili, leta evidence ya mmiliki kuzaliwa uarabuni.
Kwahiyo kwa sababu wakamba Wana origin ya Kilimanjaro tuwahesabu kama watz hamnaga akili
Did someone ever told you youth at you are a cow?

View attachment 3308512
Tuletee derivation ya kibo kama mwenzio alivyosema imetokana na kiboko. Acha kukimbia hoja we mnuka mavi
 
Kwikwi ndo maana tunawambia hamnaga akili, leta evidence ya mmiliki kuzaliwa uarabuni.
Kwahiyo kwa sababu wakamba Wana origin ya Kilimanjaro tuwahesabu kama watz hamnaga akili

Tuletee derivation ya kibo kama mwenzio alivyosema imetokana na kiboko. Acha kukimbia hoja we mnuka mavi
But Kilimanjaro was originally in Kenya Kama hujui, so hao wakamba are still Kenyans by origin.
 
Amekuja kujitetea baada ya kutengezeza hasara ya karibu billioni moja.

Baadae mtaanza kupiga mawe hicho kiwanda baada ya kukigeuza kuwa pesa. Hapo anawekeza upya na kuanza production baada ya kufanya expansion ya kutosha.

Harvard hawajampa PhD ya bure bure tu kwenye biashara huyo mwamba. Subiri tu baada ya 2yrs kilio kita anza upya...anaenda kumaliza soko lote la cement kunyaland na UG.
 
Back
Top Bottom