ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Siku mkifikia level hizi za 🇹🇿 uni tag 👇👇Kenya is beautiful
Bila Azam hawa mbwa wangekuwa bado wanaangalia mpira kwenye TV lkn kama wapo uwanjani, camera moja and no replay.
Kundustan ndio baby walker kabisa mnuka mavi Kwa 🇹🇿 si unaona Rus wenu anavyotubembeleza? 👇👇Dodoma ni kijiji kwa kwa Tatu City, si unaona mumekuja bench marking ingine tena. 🤣🤣🤣
View: https://x.com/Tatu_City/status/1912769218040246706
Hao ni warabu acha kulazimisha mambo. Mtanzania ni wewe unayeomba mapicha sababu hamna uwezo.Haha kweli yaan eti rostam ainvest Kenya kuliko alivyowekeza Tanzania itakuwa unaota ebu fuatilia amson owner anamiliki Nini tena tanzania
Tanzania hatutambuani kwa rangi na makabila bali kwa uraia . Nachojua mmiliki wa amson ni mzaliwa wa tabora na sio uarabuni
Amekuja kujitetea baada ya kutengezeza hasara ya karibu billioni moja.Kundustan ndio baby walker kabisa mnuka mavi Kwa 🇹🇿 si unaona Rus wenu anavyotubembeleza? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DIlVFRAorWp/?igsh=MWoyMXdqbHdiNXdzMg==
😂😂Unacompare basi ya 35 million na viatu box tatu. 🤣 🤣 🤣 we ni wazimu.
Basi la 35mil linanunuliwa baada ya miaka miwili . Total order of Kenyan buses kwa mwaka mzima au ununuzi wa mabasi ya kikenya kwa mwaka haufuki hata 100 units. Ila Kila siku ukieenda namanga Kuna msururu wa trucks kwa zaidi ya km 2 mbili zinaleta mizigo Kenya vikiwemo viatu. Mtu akipiga trip 10 tu kwa miezi 6 kashazid dhaman ya basi wakati nyinyi hata deni la mkopo wa basi linakiwa halijaisha.Unacompare basi ya 35 million na viatu box tatu. 🤣 🤣 🤣 we ni wazimu.
Kwikwi toka imenununuliwa ndo kwanza amefikisha robo ya kwanza ya mwaka na ripoti ya hasara inayonesha kabla kampuni haijanununuliwaAmekuja kujitetea baada ya kutengezeza hasara ya karibu billioni moja.
Kwikwi ndo maana tunawambia hamnaga akili, leta evidence ya mmiliki kuzaliwa uarabuni.Hao ni warabu acha kulazimisha mambo. Mtanzania ni wewe unayeomba mapicha sababu hamna uwezo.
Tuletee derivation ya kibo kama mwenzio alivyosema imetokana na kiboko. Acha kukimbia hoja we mnuka mavi
But Kilimanjaro was originally in Kenya Kama hujui, so hao wakamba are still Kenyans by origin.Kwikwi ndo maana tunawambia hamnaga akili, leta evidence ya mmiliki kuzaliwa uarabuni.
Kwahiyo kwa sababu wakamba Wana origin ya Kilimanjaro tuwahesabu kama watz hamnaga akili
Tuletee derivation ya kibo kama mwenzio alivyosema imetokana na kiboko. Acha kukimbia hoja we mnuka mavi
Amekuja kujitetea baada ya kutengezeza hasara ya karibu billioni moja.
Haya leta evidence kuwa uliwahi kuwa Kenya maana toka taifa Lenu liundwe halijawahi kumiliki kitu kinaitwa Mt Kilimanjaro.But Kilimanjaro was originally in Kenya Kama hujui.