ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kwa sababu huko Kuna wajinga tunakuja kuchukua fursa na kuwatawala.Your billionaires are busy flocking Kenya while some if yβall here saying you never want to come to Kenya as if we owe you guys a penny lol
Hawa jamaa nje ya supermarkets na apartments hawana confidence kabisa ni weupe kinomaππ€£π€£π€£π€£π€£ wacha upumbavu wewe. Heb tuone hizo biashara za Naivas. Au wazee wa kuandika tu takwimu..? Umeona Azam hii mambo yake. Actually the biggest brand in East and central Africa. ππΎView attachment 3308616itβs one among the largest in the whole of Africa. Hizi hapa ni compuni za Azam. ππΎView attachment 3308623katika hizi kampuni hakuna hata kampuni ya ya kunya inaweza tia pua yake kwa kampuni yoyote kati ya hizo. Unaleta utoto eti Naivas sijui. π€£π€£π€£
Basi nategemea kuwa mmiliki wa Naivas awe tajiri number moja East Africa au kuna tajiri hapa EA Kampita?Revenue ya Naivas kampuni moja pekee ni ksh 96 billion. Numbers ziko wazi. Sasa kusanya hizo kampuni zote za mwenye Azam uweke pamoja alafu utuambie kama inashinda Naivas kampuni moja pekee.
Your comprehension is too lowInashusha mizigo kwa factory ya kutengeneza tiles?
Bwana nairobae Haya tuletee ile source inayosema naivas inapiga 93 billion revenue annually. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Azam wenyewe wanasema revenue yao ni $800M. Wewe ni nani upinge?π€£π€£π€£π€£ hii report ilikua released 2016 ππΎView attachment 3308993unafanya assumption kwamba ili updatiwa.? π€£π€£π€£ kwa hiyo sales zimebaki stuck hapo for ten good years onwards.?
Halafu usijifanye eti just a supermarket. Naivas is the top retail brand in your country and 5th top brand in kundurenda ππΎView attachment 3309004kimsingi Ndio top ukiachana na hizo banks za wenyewe. And guess what all the above are foreign investments. π€£π€£π€£π€£π€£ kenya wanachomiliki ni magovi tu
We have better School buses than this Chinese box. Hii mambo ya school buses tulishamaliza hapa kitambo.
Imagine. Yani Chukua all the companies that make up Azam group, if you combine all their revenue ndio wanafikia NaivasπππHii Azam wanashinda wakijipoga vifua nayo kumbe ligi yake ni Naivas? Hawa huyu Devki tunayecriticize huku Kila siku angekuwa kule angekuwa national treasure.π€£π€£
Wewe watchman nyamaza juu hakuna kitu unajua. Ungeenda shule tungedebate.Queen alikuwa anatawala Tanzania au Kenya, kichaa wewe. Kwanza sina muda mchafu wa ku debate na ww govinda.
Haya tuonyeshe any Company in Tanzania with a revenue more than Safaricom. Thatβs not a supermarket nor apartment. Just show me any company in Tanzania with revenues bigger than Safaricom.Hawa jamaa nje ya supermarkets na apartments hawana confidence kabisa ni weupe kinomaπ
Kwani Revenue ndio profit? And who told you Naivas ni ya mtu moja? Yani watanzania wote ni wajinga.Basi nategemea kuwa mmiliki wa Naivas awe tajiri number moja East Africa au kuna tajiri hapa EA Kampita?
Bro, That Bhakressa group as the same revenue like Naivas.Naivas mapato yake hayafikii hata ya Bhakressa 7 years ago. Hardly USD 700M in 2024
na muliuza kwasababu hamuna uwezo wa pesa tena ndio maana wamenunua watu wenye pesa zao wawafundishe namna ya kutumia pesa sasa πππππWalinunua kampuni ndio waimalize na hasara. Hasara ndio lugha hua wanaelewa huko bongoslum.
View: https://x.com/kenyanwalstreet/status/1912759767077896669
Kuna kampuni ya Kenya that overbid for the purchase of Bamburi but CBK ikawakataza, jiulize kwa niniπππ€£πna muliuza kwasababu hamuna uwezo wa pesa tena ndio maana wamenunua watu wenye pesa zao wawafundishe namna ya kutumia pesa sasa πππππ