Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2bn kweli mtu anakuja kukaza fuvu humu
Na ni muuza bidhaa za Azam kabisa
1000061046.jpg
 
Kaka huyu jux katurahisishia sana wabongo wa abroad kwa hawa wadada wa kipopo,yan hadi raha,ukikutana na dada wa kipopo kipindi ukijutambulisha tu kama ni mbongo,yan kama kumsukuma mlevi
If you need another man to make it easier for you to get women, then there's something wrong with you. It means you aren't very attractive to women. A real alpha male is able to attract women irrespective of which country he comes from. mwaiofhawaii kuja ubebe hii ng'ombe yako.😂😂
 
Obama is a Kenyan name but we all know Barrack Obama is American. Umesikia mnyamwezi?
Ikifika kwa Obama, wanakataa sii Mkenya. Hadi ameweka picha yake anakataa sii Mkenya. Mbona asiweke the same logic kwa huyu kijana?🤣🤣
 
Back
Top Bottom