Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hizi Stadiums Kama za Homabay ndio level ya zile takataka wanajenga pale Dodoma na Arusha.
Tulia mzee nikupige za uso. Na ukome kutujaribu. Mtu mwenye hujui Accounts 🀣🀣🀣🀣 Subiri nikupatie somo

Tunaendelea na Ratios



Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M - 167,822.1M = -85,280.2M

Watu mnaona wenyewe πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
 
Hii enyewe pia kumbe ni biashara ya maandazi tu. πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸΎ financial statements yake hii. View attachment 3310514
Ukishuka chini mpaka kwenye NET Profit mzee utacheka. Hiyo ndiyo faida yao kaka πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£


 
Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kama
1. Salaries
2. Water Bills
3. Wages
4. Electricity Bills


Sasa Kampuni inaenda kukopa ili iweze kulipa watu mishahara. Sasa hiyo kampuni ipo na uhai kweli? 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Ukishuka chini mpaka kwenye NET Profit mzee utacheka. Hiyo ndiyo faida yao kaka πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£


View attachment 3310516
Hii ni kampuni ya kuuza ubuyu tu. 🀣🀣🀣 hata 20 bora haiingii Tz. Leo kachokoza moto. Na ndio ataujua ukweli. 🀣🀣🀣
 
Teargass naongezea Short Term Liabilities ni kama
1. Salaries
2. Water Bills
3. Wages
4. Electricity Bills


Sasa Kampuni inaenda kukopa ili iweze kulipa watu mishahara. Sasa hiyo kampuni ipo na uhai kweli? 🀣 🀣 🀣 🀣
Hii ni sawa na kampuni ya kuuza maji. HIL WATER. 🀣🀣🀣
 
Hii ni kampuni ya kuuza ubuyu tu. 🀣🀣🀣 hata 20 bora haiingii Tz. Leo kachokoza moto. Na ndio ataujua ukweli. 🀣🀣🀣
Show me any company in Tanzania that makes bigger profit than Safaricom. Nimekaa pale nangoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…