Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haki ya mama hakuna democracy TANZANIA, hili nchi linahitaji Sanctions Kali sana ama ivamiwe kijeshi kuondoa CCM. 😭😭😭
1000005586.jpg
 
Take 4 of your best companies, their revenue haifikii hata Safaricom. Na hizo numbers Umeweka hapo juu ni rumors.


Safaricom revenues was Ksh506.7B
View attachment 3310452
Utalia, 🤣🤣🤣🤣 we lala tu mzee. Bongo sio size yenu.

Unasema hizo namba ni rumors ilihali zimetoka kwenye website za makampuni yanyew.? 🤣🤣🤣 we Lia tu mzee wa govi.
 
Safaricom 👇👇👇👇👇Financial Position Ratios (also called Balance Sheet Ratios)


1745169915598.png



Total Current Asset = Ksh 82,541.9M
Total Current Liabilities = Ksh 167,822.1M

82,541.9M/ 167,822.1M = 0.49
Maana yake watu wakija kuidai safaricom wale wa madeni ya mda mfupi hawawezi kulipwa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom