Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Naivas tunaichukulia poa kumbe kule kwao ingekua kubwa kuliko Azam 😂😂Imagine one Supermarket chain imefanya waunganishe kampuni zote za Bhakresa na Mo Dewji. Hadi wameenda kutafuta mining companies za wazungu lakini wapi, hawana numbers. 🤣 🤣