Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mjomba kwani hiyo sio kampuni.? 🤣🤣🤣🤣 au serikali ukitoa shares Ndio inaondoa uhalali wa kuwa kampuni ya kujitegemea au.? 🤣🤣🤣
Unajua maana ya joint venture au unaongea tu fwaaaaa? Na wanaongolea contribution amabyo hata hatujui ni nini. Weka revenue hapa, Wacha kutapatapa.
 
Leo sitii neno hadi mechi iishe. Mana nimepata baridi ya ghafla.
Puresha imetoka hapa?

1745157931275.png
 
Unajua maana ya joint venture au unaongea tu fwaaaaa? Na wanaongolea contribution amabyo hata hatujui ni nini. Weka revenue hapa, Wacha kutapatapa.
We fala unataka kunifundisha maana ya maneno tena.? 🤣🤣🤣🤣. Serikali imetia pesa na mwekezaji binafsi ametia pesa. Joint venture = ubia. Tz gvt katia 16% hapo TWIGA MINING COMPANY.

Ni kampuni inayojitegemea. the biggest in the region. Ikiwa serikali tu anapewa $888 million annually, what about their annual revenue.? 🤣🤣🤣🤣 hii itabidi u combine kampuni walau kumi kubwa za kenya Ndio zishindane na Twiga mining company alone.
 
Another guess work, unaulizwa a very simple question unajibu na hearsays. Weka revenue, hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
 
Back
Top Bottom