Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ziko wapi? Ebu tuonyeshe picha zao.
Tulia hapo hapo ninakuja kwa kasi

1745229047857.png
 
Bongoslum bado wako nyuma kama haga. Traffic police lazima aende aweke watu ameshika Kwa portal,the system is not fully automated.
1745229934168.jpg
 
Hatubahatishi ebu tuambie safaricom anasomeka kiasi gani cha faida
1745229708676-png.3310954
Mbona ulete report ya 2023? 2024 imekushinda kupata? Alafu kwani huoni profit hapo ni Ksh84B? Shiw me any Tanzanian comoany that can make that profit.
 
sisi ndio tunataka kununua sasa kama tulivonunua bamburi kenya na ya uganda tutanunua kwasababu pesa ipo na biashara tunazijua vzr sana 😂😂😂😂😂
Kwani hamkuwa mmeuziwa? Ama ni Bamburi gani ya Uganda ulikuwa unasema Amsons wamenunua? Wewe rudi Yemen juu akili yako haikusaidii.
 
Back
Top Bottom