Saanaaaa joto la jiweKitambo yupo kimya sana.
Tanzania ndio inauziwa utu fake from China. Kenya they come to make legit products.Non nato kwahiyo sasa hivi unataka kutuambia ile china uliyokua unaiponda vitu vyake fake now imekua deal,njaa zitawaua nyinyi kwa kujipendekeza
Pesa ndogo sana hiyo kwa timu inayojiita timu kubwa. 😂😂😂2,880,000 Tzs 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersTanzania ndio inauziwa utu fake from China. Kenya they come to make legit products.
ila hii picha ni Nigeria! Angalia Danfo hiyo!Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersView attachment 3315068
Slums ziko everywhere, Tanzania is poorer and hungrier than Kenya. Finally Rudisha hii picha penye umeitoa, this is not Kenya.Legit products za kichina bado zinashindwa kuondoa slums,umaskini na njaa huko kundudwellersView attachment 3315068
Tuwaachie wakati anatia aibu na makuli usiku kucha huko nje 😁😁Walidhani Ruto ni rafiki wao. Walianza kusema labda hata Ruto sii mbaya, ni Wakenya wabaya. Ona sasa, tukiwaambia watuachie jangili yetu sisi ndio tunalijua hawaskii. 🤣 🤣
Slums ziko everywhere, Tanzania is poorer and hungrier than Kenya. Finally Rudisha hii picha penye umeitoa, this is not Kenya.
41% of Tanzanians live in slums. Alafu Ebu tuonyeshe hiyo slum ya Ruai tuone.
Hamna chochote mnachoexport zaidi ya chai yenye kibillion ki1, hapo na Remittances zimoKenyan service export alone is $10B, hapo hujaongeza export of goods.
Nakumbuka zile ahadi za mfaransa na Mmarekani kwa kenya leo ziko wapi, kadanganywa ili arudishe bakuli nyumbani
Stop being desperate, hapa sio Kenya.
ya mwaka jana tumewadouble, Tanzania purchasing power is twice yoursMoney & investments follow income.
Huko Dar slum madafu income kuna disposable income kweli?
That's how you it to be. The reality is very different Mgaagaa na umbwa.Kunyan no one hate u,chuki zenu za kikabila ndizo zinawafanya muanze kuchukiana wenyewe,na kwa sababu mmezaliwa na kukuzwa kwenye malezi ya namna hiyo basi Psychology yenu ipo kwenye kumchukia kila mtu,chuki na wivu unavuka hadi nje ya kiinchi chenu kichafu