Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Non nato kwahiyo sasa hivi unataka kutuambia ile china uliyokua unaiponda vitu vyake fake now imekua deal,njaa zitawaua nyinyi kwa kujipendekeza
Wanaojipendekeza ni nyinyi. Mnaona kama China ni yenu, Africa Kusini ni yenu. Sisi we just do business with anyone. Ni mara ngapi nimewaambia humu biashara haina urafiki? Halafu na hiyo kujipendekeza yote bado mnachukiwa tu sikuizi SA hawataki story zenu.🚮🚮
 
Tanzania inafanya biashara na SA na DRC kuliko nchi yoyote Africa
 
41% of Tanzanians live in slums. Alafu Ebu tuonyeshe hiyo slum ya Ruai tuone.
Eti Ngumba estate, Riruta na Uthiru ni slums. 🤣🤣🤣 Hizo places zikona middle class wengi than almost all neighborhoods in dar is a slum.
 
Wacha waje kukwambia gari sii za Kenya ni za China.😂😂😂
Hehehe 😂.

Mimi kitu huwa inanifurahisha ni kwamba anytime a Chinese want to set up a serious business lazima akuje Kenya. Kule Vumbistan you will only find poor Chinese who do hawking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…