Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Account moja kutoka TikTok imekua watu wanagombania. 🤣🤣 Punguza upuzi bro

Nani kasema akaunti moja ya TikTok! Na hizo comment za watu wengine umehesabu!? Zipo akaunti karibu social network zote wakunya wanataka connection ya kuchukua mzigo kkoo... Hata kwenye hii battle Kuna kenge aliomba apewe connection ya chupi.

Halafu zuzu umeweka post ya detergent kutoka kunyaland kuja Bongo...hiyo ni ndoto nadhani hata hizo detergent na sabuni ni wakunya kibao wanazichukua Bongo kwa sababu ni nzuri na Zina reasonable prices.
 

Attachments

  • Screenshot_20250426-084529.png
    Screenshot_20250426-084529.png
    1.1 MB · Views: 21
The road to Talanta ( and still booming with new construction)… now imagine the roads to Mkapa ( no words)..😶
View attachment 3316626
Kwan hamwezi paint hizo Barabara?
By the way roads towards mkapa are Kawawa road and Kilwa road and both have BRT system.
If you want to access the stadium there is Uhamiaji, Duce and JKT BRT stations
 
Kwan hamwezi paint hizo Barabara?
By the way roads towards mkapa are Kawawa road and Kilwa road and both have BRT system.
If you want to access the stadium there is Uhamiaji, Duce and JKT BRT stations
Kimsingi watakaokuja siku hizo Ndio watajau who is who. Mana kwa upende wetu jamaa watapanda blue buses towards the stadium. Huko kwao nadhani watapanda matatu. 🤣🤣🤣

Abiria watatoka Dar to Dom kwa EMUs. Watatoka Dar to Zanzibar kwa ferries ⛴️. Hicho ni kipindi Vijamaa tutavivua nguo. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom