Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,883
- 34,601
Ebu tuonyeshe hizo data za 2025 tuone🤣🤣😂🤣Kwa hiyo hauna data ni umeamua tu kupinga hizo data mpya. Za kwako wewe ni za 2023...unataka zipingane na data za 2025
Ebu tuonyeshe hizo data za 2025 tuone🤣🤣😂🤣Kwa hiyo hauna data ni umeamua tu kupinga hizo data mpya. Za kwako wewe ni za 2023...unataka zipingane na data za 2025
Nchi Yao wao wanategemea wazungu ambao kimsingi huko kwao walishafeli. Tena bora wamastuka mapema wameanza kumkimbilia mchina 🤣🤣🤣Cha kushangaza nchi yake ndo inazidi kudidimia. 😂😂😂
Hili suala linamuumiza kichwa sana. Sio yeye tu pekeake wapo wengi humu. 🤣🤣🤣Mkumbushe pia kuwa BM stadium sasa ni viti 62,000 😂😂😂
Hakuna Kenya umefika wewe.Mimi nimezurula sana Kenya.
Kwakweli mnatia huruma.
Hali ni mbayaaa.
In short, hakuna mtanzania anaweza kuishi Kenya.
Kenya ni JELA.
Nairobi Kenyans suffer.
Ukitembea huko vijijini, Mombasa (Afghanstan), Lamu, Kilifi 😂😂😂
Kenyans wako HELL.
Poverty to the core
Usijali siku moja utafanikiwa ufike Kenya uzurure cha ukweli. 😄Mimi nimezurula sana Kenya.
Kwakweli mnatia huruma.
Hali ni mbayaaa.
In short, hakuna mtanzania anaweza kuishi Kenya.
Kenya ni JELA.
Nairobi Kenyans suffer.
Ukitembea huko vijijini, Mombasa (Afghanstan), Lamu, Kilifi 😂😂😂
Kenyans wako HELL.
Poverty to the core
So walijua wakijenga uwanja wa 60k tutalingana! 😂😂😂Nchi Yao wao wanategemea wazungu ambao kimsingi huko kwao walishafeli. Tena bora wamastuka mapema wameanza kumkimbilia mchina 🤣🤣🤣
Hili suala linamuumiza kichwa sana. Sio yeye tu pekeake wapo wengi humu. 🤣🤣🤣
I dare you to post the most beautiful stadium in kundurenda tulinganishe na hii Gombani stadium 🤣🤣🤣🤣 let me remind you something the technology put the gombani canopy is the same technology used in the kasarani stadium. 🤣🤣🤣🤣🤣 and basically Gombani stadium is more beautiful than Kasarani.Tofauti ya hii na Siaya Stadium ni canopy pekee which Siaya Stadiu will have by end of this year. Alafu mbona unatupia kelele because of three decent stadiums in Tanzania? Hii sidhani kama itafikia Homa Bay Stadium once renovation is complete.
Ebu tuonyeshe hizo data za 2025 tuone🤣🤣😂🤣
I dare you to post the most beautiful stadium in kundurenda tulinganishe na hii Gombani stadium 🤣🤣🤣🤣 let me remind you something the technology they use to put the canopy of gombani is the same technology used in the kasarani stadium. 🤣🤣🤣🤣🤣 and basically Gombani stadium is more beautiful than Kasarani.Tofauti ya hii na Siaya Stadium ni canopy pekee which Siaya Stadiu will have by end of this year. Alafu mbona unatupia kelele because of three decent stadiums in Tanzania? Hii sidhani kama itafikia Homa Bay Stadium once renovation is complete.
Triad anamiliki gorofa gani Kenya?Triad
Na huyu naye anamiliki gorofa gani?TMS Consulting Group.
Ebu tuonyeshe penye hiyo Pinnacle Tower iko tuone.Hass Petroleum and White Lotus Group: These two entities formed a joint venture to develop the Pinnacle skyscraper.
Britam Tower is 77% owned by Kenyans. Foreigners only have 23% stake at Britam Kenya.British-American Investments Company (Britam): They own the Britam Tower.
Unataka nikutajie warabu wenye wako in the elected positions in Tanzania?Illusions
Because you arw competing pale chini in the extreme poverty index.We are not after such stupid competitions.
Thanks for accepting that Tanzania is controlled by Arabs.They are arabs.
Mo Dweji have 49% stake in Simba, most by a singke individual. So technically Simba ni yake juu akiyoa stakes zake hakuna mwenye anamiliki hata 0.5% in Simba.Huyo anatangaza biashara yake tu, kwenye jezi za Simba.
Muda wowote anatimuliwa.
Sawa baboon.I dare you to post the most beautiful stadium in kundurenda tulinganishe na hii Gombani stadium 🤣🤣🤣🤣 let me remind you something the technology put the gombani canopy is the same technology used in the kasarani stadium. 🤣🤣🤣🤣🤣 and basically Gombani stadium is more beautiful than Kasarani.
Wewe weka data na date tuone ni ya mwaka gani. Mbona umekuwa confuse mapema hivi?Kwani hizo data za tourists unazopinga hapa ni za mwaka gani!?
Wewe weka data na date tuone ni ya mwaka gani. Mbona umekuwa confuse mapema hivi?
Gavana wa Mombasa ni mkenya auwarabu?Tanzania is controlled by Arabs in all sectors. Alafu mbona utaje jengo refu when you only three in your entire country?
Hakuna data imewekwa hapa. Ama unaota na sijui?Data imewekwa ukapinga. Sasa toa Yako wewe ambayo unaona ni sahihi.
Ndio Ruto lies to you every second, because you are too stupid to learn.Triad anamiliki gorofa gani Kenya?
Na huyu naye anamiliki gorofa gani?
Ebu tuonyeshe penye hiyo Pinnacle Tower iko tuone.
Britam Tower is 77% owned by Kenyans. Foreigners only have 23% stake at Britam Kenya.
View attachment 3317428
Unataka nikutajie warabu wenye wako in the elected positions in Tanzania?
Poverty index?Because you arw competing pale chini in the extreme poverty index.
Too stupid to understandThanks for accepting that Tanzania is controlled by Arabs.
😂😂Mo Dweji have 49% stake in Simba, most by a singke individual. So technically Simba ni yake juu akiyoa stakes zake hakuna mwenye anamiliki hata 0.5% in Simba.
Baboon there is only one stadium there. Hizo zingine ni ndoto and grazing fields.Kwasasa kiviwanja hapa EA hawatuwezi kabisaa hiyo Afcon tunaouwezo wa kuhost wenyewe
BW Mkapa stadium
Arusha Stadium
Dodoma Stadium
Gombani stadium
Amani stadium
Azam complex stadium.
The best 007 kaka ile ndoto yako ya kuwa na viwanja sita vyenye standards imekamiilika mkuu. Hata wakigoma leo hawa wapumbavu wa kundurenda ku host, sisi tunaeza host pekeetu.