Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Concrete roads Njombe, Tanzania ndio nchi pekee Africa yenye longest concrete roads

20250428_183304.jpg
20250428_183205.jpg
 
na kamejaa maslums kila kona, naislum ipo packed na slums na watu wengi zaidi wanaishi kwenye slums, maeneo posh wanakaa watu wachache sana sababu mengi unakuta ni mapori makubwa yenye nyumba mbili tatu. Angalia hii infinity pool of gigantic slum
View attachment 3318452
Hapo huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20250428_190253.jpg

Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"

Kumbe ukweli ni huu 👇👇🤣🤣🤣🤣
downloadfile-39.jpg

Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hapo huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"

Kumbe ukweli ni huu 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Oyaaa ushawamasta
 
Hapo huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"

Kumbe ukweli ni huu 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hayo maghorofa hapo, kwa muonekano ni Apartments za kampuni fulani.

Imejenga inapangisha.
 
Unajua zaidi ya kiwa na mgodi hatuna kingine.

Soko, teknolojia na biashara ni wao.

Na mapato mengine kama Mirabaha na kodi inalipwa
Chukulia mfano wa eacop hatujaweka hata dhumni ila tumetoa land ila tumekula asilimia 15 na bado watatulipa usd 12 per barrel kwa siku tunajikuta tuna kama usd 2mil kwa siku
 
Back
Top Bottom