Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

For LDC countries like Tanzania it's not yet a necessity. Kama choo ya kuflush bado ni shida, WiFi itakuaje priority. 🀣🀣🀣
 
Mzee nenda Google map angalia hizo "Affordable Housing" halafu linganisha na ukubwa wa Kibera slum halafu rudi hapa ucheke. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna kitu kinawauma wakenya kama uwepo wa ma slums everywhere, yn inawauma sn, sasa kwa sababu maisha yao na uchumi wao ni wa online wanajaribu kumaliza ma slums online kumbe ndiyo kwanza wanazidi kujiumiza, cz hapa tunapoongea slum dwellers wameanza utaratibu wa kujenga ma slums Caren (hiyo Caren ndiyo the most beautiful place in Kenya according to their standard 🀣🀣), yn ukiona Ka estate Kenya juwa kwamba kuna ma slums pembeni yamezunguka.
 
Nimeziona 🀣🀣🀣 anajifanganyaga sana huyo fala 🀣🀣🀣
Wakenya hawana akili, licha ya utandawazi mkubwa tulionao duniani kwa ss lkn bado wanaongopa, na sio kwamba wanaongopa kana kwamba wanajua, hapana hawajui kama dunia ya sasa ni kijiji kutokana na naturally hawakuumbwa na akili.
 
Unajichosha tu govinda, Kibera is there to stay forever, alafu sikia nikuambie, Kibera sio slum kubwa Kenya japo ni miongoni mwa slum kubwa duniani, Nairobi alone ina more than 300 big slums ambazo zinaiacha mbali Kibera na zinaweza zikavunja record ya dunia na kuingia kwenye Guinness.
 
Huwez maliza slum kwa kujenga nyumba au maghorofa , sababu wanaoishi kwenye hizo slums hawana hata uwezo wa kulipia Kodi ya ksh 740, sasa wataweza kupanga au kununua nyumba na kulipa walau hata hiyo ksh 5000 kwa mwezi, sanasana wataenda kujenga slums hatari sana prmbezoni au wataanza kulala kwenye vibaraza.
Wanachotakiwa kufanya ni kuwawezesha wananchi wao kama vile support ya kilimo, kuvutia wawekezaji wengi ili watu wapate ajira , kunyanganya mapande ya ardhj yaliyohodhiwa na kuwapa maskini wafanye production.
Ila kwa sababu ni wavivu kufikiri acha tuendelee kuwalisha
 

Lia polepole.
 
Unaenda kuokota comments za mazuzu then unaleta huku mtandani kama Ndio reference yako. 🀣🀣🀣
 
I thought good transportation is supposed to cater for all price levels. Si huwa mnasema Wakenya tunatumia malori? Hizo malori Unadhani nauli huwa dollar elfu ngapi? πŸ˜‚
Daladala ni private businesses.

Kwasababu hiyo daladala imetumika muda mrefu, haina maana kuwa daladala mpya hakuna.

Dar ez Salaam is a city of 7 million people, ndio maana usafiri bado ni changamoto kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…