Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Heb acha kuwapa credit na wewe. Daladala kali zipo kama zote tena mpyaa unless wewe hauishi Dar, huwezi kuelewa hii.Sasa kwa trip towns, mtu anatoka kazini anemda kwake.
Why all the complications.
Watu hawataki luxury wanataka kuwahi nyumbani.
Thats where BRT came in
