President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Kundudweller katika ubora wakeI tried a dala dala in Dar๐
View attachment 3322834
A hotel for foreigners
Ona vile kiingereza cha huyu mwamba kisivyo na maana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ anataka gari la 25 million kwa 15 million, wazee wakamdharau, sasa kiingereza chake kimemsaidia nini na pesa hana. ๐๐พ.Hao mazuzu wamefika Kenya, wewe hata Namanga hujafika. Endelea kuamini propaganda za CCM.
Show me the foreigners?A hotel for foreigners
Unafosi kunifananisha na nyani.? Haya jione wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐พView attachment 3322612
Hii inanihusu aje?Ona vile kiingereza cha huyu mwamba kisivyo na maana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ anataka gari la 25 million kwa 15 million, wazee wakamdharau, sasa kiingereza chake kimemsaidia nini na pesa hana. ๐๐พ.
View: https://www.instagram.com/reel/DIBGWE6qzUz/?igsh=cG1kOThqcThkNzg2.
New cafe in town?
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Huu uwanja utakuja kuwaangukia mfe, nguzo gani zile
Show me the foreigners, si ulisema ni ya foreigners.New cafe in town?
Alafu utapata kunguni moja anakuja kuchekelea hii๐๐๐คฃI tried a dala dala in Dar๐
View attachment 3322834
Anyways, Kenya kwa migahawa Westernised mko vizuri.Show me the foreigners, si ulisema ni ya foreigners.
Hii ni nini, ndio Nganya mnaita?
Tena sio ya foreigners? Yani mlidanganywa kuhusu Kenya mkaingia tu box without even doing research๐๐New cafe in town?
Hata Expressway pia mlisema itaanguka, mbona bado haijanguka?๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Huu uwanja utakuja kuwaangukia mfe, nguzo gani zile
Itโs far better than those dalala NairobiWalker amepost.Hii ni nini, ndio Nganya mnaita?
This is perfect timing umekuja mwenyew mpanda matatu. ๐คฃ๐คฃ๐๐พ
Sasa kwa trip towns, mtu anatoka kazini anenda kwake.Itโs far better than those dalala NairobiWalker amepost.