Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3325410
Kunyan akili hamna,unaiponda magomeni!naikundu cbd to kibera ni km ngapi 😃
Nairobi Ina slums 110
Nairobi is estimated to have around 110-200 slums, depending on the source, with about 60% of the city's population residing in these informal settlements. These settlements occupy about 6% of the city's land area.
 
Hata risiti ya FD hana
Daah hapa atakuwa alipigwa na dada wa kipare tu🤣🤣🤣. Yaan kama alinunua bia sita tu, dada alikusanya 4800 ya fasta bado akampiga Tena kwenye kupokea pesa ya Kenya daah, si ajabu dada wa watu akawa alimpiga zaid ya 50,000 na mikonyezo kama yote, yeye akajua kapendwa
 
Umesomea Chemistry lakini sio Pharmacy and that alone should tell you that you are an idiot. Chemistry doesn’t deal with the pharmacodynamics and pharmacokinetics.

Niko na pesa kukuliko despite being younger than you by almost 10yrs, don’t bring your malnutrition problems to me. Actually you are one of the failed sperms ever released by a man.
Pharmacy haiishii tu kwenye pharmacokinetics na pharmacodynamics.
Kabla hujafikia hizo mbili itabidi usome pharmacology kwanza.
Na kwenye pharmacology ndipo mzizi wa pharmacy ambao Chemistry ulipo.
Chemistry ni mzizi wa pharmacy.
Wacha ujuaji mwingi.
 
Back
Top Bottom