Said who?Darasa la 7, Tanzania kwa Kenya ni Darasa la 8.
Kenya ukiacha Kiingereza walichowekeza sana, hawana jipya
Said who?Darasa la 7, Tanzania kwa Kenya ni Darasa la 8.
Kenya ukiacha Kiingereza walichowekeza sana, hawana jipya
Mimi nimeomba tuu uthibitisho wa mitihani, mbona unashindwa kuleta?Kwa hivyo unapinga calculus haifunzwi high school Kenya?
Sisi tunaenda mpaka darasa la 7. Then, form 1.Said who?
Calculus is taught in high schools all over the world, sijui hata mbona unauliza swali la upuzi.Mimi nimeomba tuu uthibitisho wa mitihani, mbona unashindwa kuleta?
Kenya hakuna high school, kuna nini? 🤣 🤣 🤣 Kama hii ndio elimu ya bongoslum, heri hata kutoenda shule.Sisi tunaenda mpaka darasa la 7. Then, form 1.
Kenya mpaka darasa la 8. Then , form 1.
Kenya hakuna high school. TZ kuna high school, miaka 2.
Conning system celebrated by fools.Kenya hakuna high school, kuna nini? 🤣 🤣 🤣 Kama hii ndio elimu ya bongoslum, heri hata kutoenda shule.
Calculus is taught in high schools all over the world, sijui hata mbona unauliza swali la upuzi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=38nDV679Hao
Sasa unabishana nini? 😄 Ni wewe umesomea Kenya au ni mimi? Ukitaka exam paper, enda KNEC wakupatie basi.Umelianzisha mwenyewe, sasa unatapa tapa.
Huu sio uthibitisho rasmi wa elimu ya sekondari kenya kufundisha calculus. Leta mtihani ambayo wanafunzi wa kenya wanaulizwa maswali ya calculus. Sisi o' level baadhi ya shule zinafundisha calculus, rasmi. Ukitaka uthibitisho wa mitihani ya NECTA ya form 4 ya maswali hayo, nitakupatia.
Rasmi ni official BTW
Sasa unabishana nini? 😄 Ni wewe umesomea Kenya au ni mimi? Ukitaka exam paper, enda KNEC wakupatie basi.
View: https://youtu.be/8wCU-smaKFY?si=QN8hxmvjc3LLe4gt
Kwa hivyo hio ni swali la KCSE ya Bongoslum. Sawa basi.Kwa jinsi mlivyo wakenya kama ungekuwa na evidence ungeshaitoa, once again I'm going to use this phrase, "big hat no cattle".
Hueleweki.Kwa hivyo hio ni swali la KCSE ya Bongoslum. Sawa basi.
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.
Ambassadors wengi wako Masaki na Oysterbay.Nikama hamjui CBD yenu inaanzia wapi na inaishia wapi ju wengine wanakubali ziko CBD wewe unapinga. Hamjielewi. 🤣😂🤣
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.
Mkiambiwa mko wengi mnabisha haya sasa wazee wa JIDIPIII🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 Are you even a form four graduate? You sound like a primary school dropout.
View attachment 3327736
Show me hii slum kwa google maps sahii niione, kwani unaogopa nini. Unaokota articles online ju huna prove. Naweza kuonyesha soko la samaki next to State House ya Dar, wewe nionyeshe hio sego slum iko wapi hapa Nairobi.View attachment 3327856
![]()
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’
Sego: State House slum where there is no ‘ngeta’www.standardmedia.co.ke
Ni nyinyi hamuendi shule, nchi imejaa primary school dropouts.Mkiambiwa mko wengi mnabisha haya sasa wazee wa JIDIPIII🤣🤣🤣
US Embassy imebanwa na Slums. 🤣 🤣 🤣