Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaandika designs ata ya kumi, ila kukamilisha itawachukua miaka mia moja, uchumi hafifu ata kukopesheka ni tatizo!.., mtatembeza bakuli na kutafuta PPP ila wapi, wawekezaji hawaoni viability yoyote.., uchumi wenyewe hafifu, Pato la taifa kwa mwaka haitoshi ku finance recurrent expenditure kwa budget ya taifa.., boss mko hovyo ni wazi sana, Tanzania bado sana 🤣🤣🤣🤣.,
Hayo maneno ya mkosaji anyway hapa ni shinyanga zaid ya km 1000 kutoka dar es salaam ila check hiyo sgr , unaweza kutuletea sgr ikiwa naivasha😂😂😂😂

View: https://vm.tiktok.com/ZMSJnhfk3/
 
Soma uelewe usidanganyike na status 😂😂😂😂 kuwa ldc sio kigezo kabisa ila Kuna preferential watu wanataka , nyinyi mnafagilia wakati uwezo hata wa kujilisha hamna
East Asia ForumSearch

China’s developing country status in the WTO: time for an upgrade?​

Published: 21 January 2019Reading Time: 5 minsBack
Xiangchen Zhang Chinese Ambassador to the WTO looks on before the start of the General Council meeting at the World Trade Organization (WTO) in Geneva, Switzerland, 26 July 2018 (Photo: Reuters/Denis Balibouse).

In Brief​

As the United States and China continue to negotiate to avert a further escalation of trade tensions, the two countries face an extensive list of issues to address — technology transfer, intellectual property protection and market access core among them. One issue that often garners less attention is China’s self-declared status as a ‘developing country’ in the World Trade Organization (WTO).

Share​

XLinkedInFacebookEmailPrint
  • A
  • A
  • A
Under the WTO, developing countries can receive ‘special and differential treatment’, ranging from longer timetables for implementing agreements to weaker market access commitments. But the WTO does not define ‘developed’ or ‘developing’, leaving it to individual members to self-declare their status. According to the WTO, two-thirds of its 164 members — including China — currently consider themselves developing countries.

What is this? Get straight to the point.
 
Mtaandika designs ata ya kumi, ila kukamilisha itawachukua miaka mia moja, uchumi hafifu ata kukopesheka ni tatizo!.., mtatembeza bakuli na kutafuta PPP ila wapi, wawekezaji hawaoni viability yoyote.., uchumi wenyewe hafifu, Pato la taifa kwa mwaka haitoshi ku finance recurrent expenditure kwa budget ya taifa.., boss mko hovyo ni wazi sana, Tanzania bado sana 🤣🤣🤣🤣.,
Hapa nani anatembeza bakuli😂😂😂😂 mpaka mnatia huruma. Hivi alifanikiwa kupata mkopo kweli
Prime

Ruto in China: Kenya seeks credit wiggle room to fund SGR​

Tuesday, April 22, 2025 - 5 min read
ruto.jpg

President William Ruto with Chinese President Xi Jinping during bilateral talks at the Great Hall of the People in Beijing, China on September 3, 2024.
Photo credit: PCS

By Aggrey Mutambo
Editor - Africa & International
Nation Media Group

In his China state visit, President William Ruto and his officials are faced with a tricky balancing act as they seek more support from Beijing for Kenya’s infrastructure and trade development while ensuring that any new deals do not push up debt levels.
His officials say they are open to try new financing models to fulfil the country’s great need to complete stalled projects and extend others. Some of those are the extension of the standard gauge railway (SGR) from Naivasha to Malaba on the Ugandan border, and the expansion of the main highway from Nairobi to Nakuru and on to Malaba.
 
Soma uelewe usidanganyike na status 😂😂😂😂 kuwa ldc sio kigezo kabisa ila Kuna preferential watu wanataka , nyinyi mnafagilia wakati uwezo hata wa kujilisha hamna
East Asia ForumSearch

China’s developing country status in the WTO: time for an upgrade?​

Published: 21 January 2019Reading Time: 5 minsBack
Xiangchen Zhang Chinese Ambassador to the WTO looks on before the start of the General Council meeting at the World Trade Organization (WTO) in Geneva, Switzerland, 26 July 2018 (Photo: Reuters/Denis Balibouse).

In Brief​

As the United States and China continue to negotiate to avert a further escalation of trade tensions, the two countries face an extensive list of issues to address — technology transfer, intellectual property protection and market access core among them. One issue that often garners less attention is China’s self-declared status as a ‘developing country’ in the World Trade Organization (WTO).

Share​

XLinkedInFacebookEmailPrint
  • A
  • A
  • A
Under the WTO, developing countries can receive ‘special and differential treatment’, ranging from longer timetables for implementing agreements to weaker market access commitments. But the WTO does not define ‘developed’ or ‘developing’, leaving it to individual members to self-declare their status. According to the WTO, two-thirds of its 164 members — including China — currently consider themselves developing countries.
Screenshot_20250511_203613_Chrome.jpg
Intensive Capitalism teaches fools EGO and STUPIDITY
 
What is this? Get straight to the point.
China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.
 
Ukienda marekani wanaamini china Iko less developed ila wakitoka huko marekani wakafika china wanachanganyikiwa. Utofauti unaonekana hata kwa idadi ya nguo za mitumba mnazoingiza.
Inaonekana purchasing power ya wakenya Iko kwenye mitumba ya nguo
Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240410-201947.jpg

Screenshot_20240527-231108.jpg

Screenshot_20240410-202118.jpg

Screenshot_20240527-231129.jpg

Screenshot_20240527-231149.jpg

Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
 
Alie wadanganya lazima alikufa na kuwaachia laana ya uwongo na fikra potovu, mmebakia na laana ya kujidanganya na kujiliwaza miaka nenda miaka rudi, poleni sana, nimeanza kuelewa sio makosa yenu, waliowatangulia waliwalisha propaganda hadi basi🤣🤣🤣🤣
The same laana ya ukabila,uchafu na wizi huko kundustan
 
China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.
China is still a developing country. Hata wakipata benefits they do deserve it. Nyinyi nayo ni maskini cha ukweli hakuna kitu kama mko kwa LDC by choice.
 
Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3331267
View attachment 3331268
View attachment 3331271
View attachment 3331270
View attachment 3331269
Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
Screenshot_20250427-183528.png

Njoeni mchukue wezi wenu huku
 
Every time you are taught, you don't listen.

Thats a cartel owned by a human trafficking Kenyan capitalist

View: https://x.com/wanjaah/status/1302499720267550723?t=aAAHa4nVRO33OhBxzgrLrg&s=19
 
Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3331267
View attachment 3331268
View attachment 3331271
View attachment 3331270
View attachment 3331269
Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
Happ sasa ndo mmejidhirisha kuwa nyinyi ni wajinga unaruhusuje foreigner aje afanye KAZI ya kubeg. Amepitaje border bila passport? Hao ni wakenya wenzenu ila mnatafuta njia za kuchafua 😂😂😂😂
Meanwhile sisi tuna project tunawaandalia kwa ajili ya kuwakwamua sio nyinyi irrigation scheme tu zimewashindwa
AGRICULTURE CONSTRUCTION Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 OCTOBER 9, 2024 2 MINUTE READ

Read more at: Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
 
China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.
Wewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matokeo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
Screenshot_20240802-022252.jpg

Idadi hii👆kwa sasa imeongezeka Tanzania 🤣
 
Wewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matoleo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
View attachment 3331279

Kwahiyo ni developing country? 😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kutuambia maisha ya wachina na marekani , wachina wanamaisha magumu sana 😂😂😂😂😂. Kweli Kenya ni vilaza
 
Happ sasa ndo mmejidhirisha kuwa nyinyi ni wajinga unaruhusuje foreigner aje afanye KAZI ya kubeg. Amepitaje border bila passport? Hao ni wakenya wenzenu ila mnatafuta njia za kuchafua 😂😂😂😂
Meanwhile sisi tuna project tunawaandalia kwa ajili ya kuwakwamua sio nyinyi irrigation scheme tu zimewashindwa
AGRICULTURE CONSTRUCTION Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 OCTOBER 9, 2024 2 MINUTE READ

Read more at: Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
Kuingia Kenya an East African haitaji passport kilaza, mara ya mwisho ulisafiri ni lini?.., kama sio Watanzania mbona huwa wanarudishwa Tanzania na serikali yenu haiwakatai 🤣🤣🤣🤣🤣., ng'ombe ni ng'ombe kweli 🤣🤣🤣🤣.,
Ata gazeti lenyu linatangaza hii aibu., usijaribu kukwepa., ni ukweli, hadi vijijini Kenya mnafika!!!
Screenshot_20240410-202118.jpg
 
Kwahiyo ni developing country? 😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kutuambia maisha ya wachina na marekani , wachina wanamaisha magumu sana 😂😂😂😂😂. Kweli Kenya ni vilaza
Mjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,
 
Wewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matoleo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
View attachment 3331279
Idadi hii👆kwa sasa imeongezeka Tanzania 🤣
Unaweza ukatoa tofauti ya hizi

Economic Overview
Tanzania is a lower-middle income country with a per capita GDP of $1,149. The economy is relatively diversified: agriculture accounts for about a quarter of total value addition, industry for a third, and services for the remainder. Agriculture remains the largest source of employment, with two in three Tanzanians working in the sector. Rapid urbanization nevertheless means that 37% of Tanzanians now live in cities. Poverty is estimated at 43% using the International Poverty Line of $2.15 2017 PPP/day (about 2,080 nominal TSH in 2024), with a Human Capital Index of 0.39, roughly in line with the regional average.

World Bank confirms Kenya’s lower-middle income status
Thursday, July 02, 2015 — updated on December 23, 2020 - 2 min read

Kenya revised it economic data in September last year, expanding its GDP by 25 per cent. PHOTO | FILE
 
Mjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,
Kumbe we ni mjinga hata hujui kinachoendelea hakuna kwa namna yoyote unaweza kutoka Tanzania au Kenya bila kuwa na either passport au Kuna Ile border pass , hiyo ni lazima uwe nayo kilichoondolewa sio lazima kuwa na viza tu ila yellow card, passport lazima border pass ni kwa wale ambao hawaendi mbali bali mpakani.
Utachekwa sana
 
Mjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,
Pole sana yaan kama hata hujui requirements za kusafiri kutoka au kuingia ndani ya Kenya inaonekana hujawahi hata kuvuka kibera
 
Back
Top Bottom