concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 7,006
- 15,486
Hayo maneno ya mkosaji anyway hapa ni shinyanga zaid ya km 1000 kutoka dar es salaam ila check hiyo sgr , unaweza kutuletea sgr ikiwa naivasha😂😂😂😂Mtaandika designs ata ya kumi, ila kukamilisha itawachukua miaka mia moja, uchumi hafifu ata kukopesheka ni tatizo!.., mtatembeza bakuli na kutafuta PPP ila wapi, wawekezaji hawaoni viability yoyote.., uchumi wenyewe hafifu, Pato la taifa kwa mwaka haitoshi ku finance recurrent expenditure kwa budget ya taifa.., boss mko hovyo ni wazi sana, Tanzania bado sana 🤣🤣🤣🤣.,
UN ndio wana process data za uchumi??List ni ya UN sio yako. Imagine hakuna kitu unaweza fanya.
Soma uelewe usidanganyike na status 😂😂😂😂 kuwa ldc sio kigezo kabisa ila Kuna preferential watu wanataka , nyinyi mnafagilia wakati uwezo hata wa kujilisha hamna
Search
China’s developing country status in the WTO: time for an upgrade?
Published: 21 January 2019Reading Time: 5 minsBack
In Brief
As the United States and China continue to negotiate to avert a further escalation of trade tensions, the two countries face an extensive list of issues to address — technology transfer, intellectual property protection and market access core among them. One issue that often garners less attention is China’s self-declared status as a ‘developing country’ in the World Trade Organization (WTO).
Share
XLinkedInFacebookEmailPrint
Under the WTO, developing countries can receive ‘special and differential treatment’, ranging from longer timetables for implementing agreements to weaker market access commitments. But the WTO does not define ‘developed’ or ‘developing’, leaving it to individual members to self-declare their status. According to the WTO, two-thirds of its 164 members — including China — currently consider themselves developing countries.
- A
- A
- A
Hapa nani anatembeza bakuli😂😂😂😂 mpaka mnatia huruma. Hivi alifanikiwa kupata mkopo kweliMtaandika designs ata ya kumi, ila kukamilisha itawachukua miaka mia moja, uchumi hafifu ata kukopesheka ni tatizo!.., mtatembeza bakuli na kutafuta PPP ila wapi, wawekezaji hawaoni viability yoyote.., uchumi wenyewe hafifu, Pato la taifa kwa mwaka haitoshi ku finance recurrent expenditure kwa budget ya taifa.., boss mko hovyo ni wazi sana, Tanzania bado sana 🤣🤣🤣🤣.,
Soma uelewe usidanganyike na status 😂😂😂😂 kuwa ldc sio kigezo kabisa ila Kuna preferential watu wanataka , nyinyi mnafagilia wakati uwezo hata wa kujilisha hamna
Search
China’s developing country status in the WTO: time for an upgrade?
Published: 21 January 2019Reading Time: 5 minsBack
In Brief
As the United States and China continue to negotiate to avert a further escalation of trade tensions, the two countries face an extensive list of issues to address — technology transfer, intellectual property protection and market access core among them. One issue that often garners less attention is China’s self-declared status as a ‘developing country’ in the World Trade Organization (WTO).
Share
XLinkedInFacebookEmailPrint
Under the WTO, developing countries can receive ‘special and differential treatment’, ranging from longer timetables for implementing agreements to weaker market access commitments. But the WTO does not define ‘developed’ or ‘developing’, leaving it to individual members to self-declare their status. According to the WTO, two-thirds of its 164 members — including China — currently consider themselves developing countries.
- A
- A
- A
China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.What is this? Get straight to the point.
Hawa wanadanganyikaga sanaView attachment 3331263Intensive Capitalism teaches fools EGO and STUPIDITY
Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣Ukienda marekani wanaamini china Iko less developed ila wakitoka huko marekani wakafika china wanachanganyikiwa. Utofauti unaonekana hata kwa idadi ya nguo za mitumba mnazoingiza.
Inaonekana purchasing power ya wakenya Iko kwenye mitumba ya nguo
The same laana ya ukabila,uchafu na wizi huko kundustanAlie wadanganya lazima alikufa na kuwaachia laana ya uwongo na fikra potovu, mmebakia na laana ya kujidanganya na kujiliwaza miaka nenda miaka rudi, poleni sana, nimeanza kuelewa sio makosa yenu, waliowatangulia waliwalisha propaganda hadi basi🤣🤣🤣🤣
China is still a developing country. Hata wakipata benefits they do deserve it. Nyinyi nayo ni maskini cha ukweli hakuna kitu kama mko kwa LDC by choice.China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.
Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3331267
View attachment 3331268
View attachment 3331271
View attachment 3331270
View attachment 3331269
Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
Every time you are taught, you don't listen.Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3331267
View attachment 3331268
View attachment 3331271
View attachment 3331270
View attachment 3331269
Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
Happ sasa ndo mmejidhirisha kuwa nyinyi ni wajinga unaruhusuje foreigner aje afanye KAZI ya kubeg. Amepitaje border bila passport? Hao ni wakenya wenzenu ila mnatafuta njia za kuchafua 😂😂😂😂Mimi nimekupa evidence ya watu wasio wa Kenya ama Watanzania, wamejionea tofauti Kati ya Kenya na Tanzania, sio hizi fikra zako za kujiliwaza ili uskie vizuri, unajibu kishabiki tu., blind patriotism 🤣🤣🤣🤣
Another evidence inayo onyesha mko hovyo watanzania wengi fukara wanavuka boda na kuingia Kenya kukuja kuomba mitaani., mnatisha sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3331267
View attachment 3331268
View attachment 3331271
View attachment 3331270
View attachment 3331269
Ata wiki hii nimekutana na wengine, outside Nairobi, kikundi cha watu, wanapiga ngoma wakiimba nyimbo za dini, mama moja anaonekana ni kipofu, wako na sahani, mama wazee na watoto, eti tuwapee shilingi., cha kushangaza hakuna anaye wasumbua., wenye huruma wanatoa hela na kuendelea na shughuli zao., Tanzania mnatisha
Wewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,China mpaka 2017 alikuwa katika katika developing countries wakati kiuhalisia haikuwa hivyo , kwahiyo logic ya kuwa katika ldc isikusumbue sana maana hizo mnapewa tu mjifaiji wakenya ila ukweli unabaki Kuna watu wengi Wana njaa ya kufa kabisa Kenya kuliko Tanzania ila Tanzania hakuna watu wakufa njaa.
Kwahiyo ni developing country? 😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kutuambia maisha ya wachina na marekani , wachina wanamaisha magumu sana 😂😂😂😂😂. Kweli Kenya ni vilazaWewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matoleo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
View attachment 3331279
Idadi hii👆kwa sasa imeongezeka Tanzania 🤣
Kuingia Kenya an East African haitaji passport kilaza, mara ya mwisho ulisafiri ni lini?.., kama sio Watanzania mbona huwa wanarudishwa Tanzania na serikali yenu haiwakatai 🤣🤣🤣🤣🤣., ng'ombe ni ng'ombe kweli 🤣🤣🤣🤣.,Happ sasa ndo mmejidhirisha kuwa nyinyi ni wajinga unaruhusuje foreigner aje afanye KAZI ya kubeg. Amepitaje border bila passport? Hao ni wakenya wenzenu ila mnatafuta njia za kuchafua 😂😂😂😂
Meanwhile sisi tuna project tunawaandalia kwa ajili ya kuwakwamua sio nyinyi irrigation scheme tu zimewashindwa
AGRICULTURE CONSTRUCTION Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 OCTOBER 9, 2024 2 MINUTE READ
Read more at: Tanzania To Construct TZS 18 Billion Mkomazi Irrigation Dam In 2024/25 and follow us on Twitter: https://twitter.com/TanzaniaInvest Facebook: TanzaniaInvest LinkedIn: TanzaniaInvest | LinkedIn Instagram: Login • Instagram
Mjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,Kwahiyo ni developing country? 😂😂😂😂 Kwahiyo unataka kutuambia maisha ya wachina na marekani , wachina wanamaisha magumu sana 😂😂😂😂😂. Kweli Kenya ni vilaza
Unaweza ukatoa tofauti ya hiziWewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matoleo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
View attachment 3331279
Idadi hii👆kwa sasa imeongezeka Tanzania 🤣
Kumbe we ni mjinga hata hujui kinachoendelea hakuna kwa namna yoyote unaweza kutoka Tanzania au Kenya bila kuwa na either passport au Kuna Ile border pass , hiyo ni lazima uwe nayo kilichoondolewa sio lazima kuwa na viza tu ila yellow card, passport lazima border pass ni kwa wale ambao hawaendi mbali bali mpakani.Mjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,
Pole sana yaan kama hata hujui requirements za kusafiri kutoka au kuingia ndani ya Kenya inaonekana hujawahi hata kuvuka kiberaMjinga proMax🤣🤣🤣, ugumu ama urahisi wa maisha nayo ni kigezo cha developing na developed eti?🤣🤣🤣🤣🤣, bladfwakin kabisa 🤣🤣🤣🤣.,