Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanajicompare na China, what a shame. 🤣 🤣 🤣 Na hio China hata inawatambua kama LDC.
 
Unajua mlishushwa kweli?., hamjafika lower middle income kikamilifu, hadi review ya 2027 kilaza.,


May 2024!., mwaka jana tu.,



Ukisoma u have met two of the three graduation criteria, bado kigezo moja..,


TANZANIA BADO NI LDC!!
 
Sasa badala ya kuleta credible source unaokoteza.

Whatever, they say LDC or not. What does it help.

Hiyo middle income Kenya cannot even fund a small project without PPP
 
Mimi nilijua umeleta kutoka source ya maana ebu tusomee kutoka hapa
Ebu leta ripoti kutoka worldbank tukishushwa 🤣🤣🤣🤣
Ni
 
Mikopo ambayo tunalipa, hakuna cha bure hapo kama omba omba wa kwenu.
Hapo mnakopa ili mlipe deni 🤣🤣🤣🤣


Kenya Railways defaults on Sh167.5bn SGR loans
Monday, November 11, 2024 - 4 min read

SGR cargo train at the Nairobi terminus station in this photo taken on April 27, 2019. PHOTO | JEFF ANGOTE | NM
G

 
Ugumu wa maisha una akisi kilichopo nchin. Huwezi kuwa unatembelea gari zuri huku ukiwa unakufa njaa au huna sehem ya kulala.
In first world countries Kuna watu wanalala under bridges or in their cars, maisha ni ghali, gharama iko juu, ila on average wako na first world social amenities provided by their govt, standard schools, hospitals, health insurance, tertiary institutions., etc, na pia utapata mtu ako na maisha mepesi in a poor country kana Tanzania or developing kama Kenya, haimaanishi eti sasa wako developed., Wacha ujinga kilaza🤣🤣🤣🤣., raiya wa Seychelles have higher standards of living than Egyptians, or South Africans on average basis, but SA and Egypt are more developed than Seychelles by far ikija infrastructure!.., Most European countries ziko na better standards of living and high class social amenities available to all its citizens on average than it is in China, ila hakuna taifa Europe imeizidi China kwa uchumi(GDP) ama infrastructure kwa ujumla.., ama utabisha?., ila Tanzania haiwezi kutajwa kama China wala Marekani, nyie ni fukara tu.., level yenu ni Bangladesh na akina DRC.., Cameroon types
 
Unajaribu ila wapi., LDC sio dhambi, bado mko hapo., IMF sio credible eti?.., 2024 na 2025!., kojoa ulale, Wacha kutetea ujinga wako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…