IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,740
- 10,266
Have you ever been to rural China!! I have lived in rural China bro!! Acheni kujidanganya nyie mbwa!!The other day I had same argument with the resident monkey boy . China is shiny in urban areas only. Lots of rural areas still resemble third world .Just like India they are overwhelmed by overpopulation and crowded spaces.
Chamoto unaweza kuona hapa baada ya kutoa tano, alitoa heshima ya pekee kwa yule bwana kama mjeda na kama foma, lakini alimpa tano tu! ni ishara pekee kuwa watu wake wanafanya kazi nzuri. Remeber: ana over 100 Russia military and security advicers na some top fighers pia wako ground. hivyo kila mgeni wanamtambua.Ndio maana Traore alitoa tano tu za kisela, wakati ile ilikuwa ziara nzito ya kidiplomasia. Something haiko right na yule mzee ni chata na ndio maana anapewa sana zile posts za wale watu. Lazima kuna kitu amefanya ama anawafanyia.
Hii nchi kweli kiboko hadi elevated road iko na floods 🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/reel/DJhWeTKtOrn/?igsh=MTYwMmd0OGVpNG1yZw==
Tandale ikiletwa Kenya inakuwa South B.What's your point exactly kijana wa Tandale?
Hawa wahuni wameshafika mwishoPia wameambiwa wa-devalue currency!
CC: nairobae
![]()
Kenya: currency overvalued, says central bank governor | Africanews
Kenya's currency, the shilling, which is trading at a historically low rate, has been overvalued for several years, according to the governor of the East African country's central bank.www.africanews.com
Unaleta habari mbili tofauti from different times then unajaribu kuzishikanisha ili udanganye watu. The link ni wakati the Kenyan currency was very low against the dollar at 150. Unashare articles ambazo hata hujasoma. Enyewe unaweza kua mzee na ukue mjinga at the same time.Pia wameambiwa wa-devalue currency!
CC: nairobae
![]()
Kenya: currency overvalued, says central bank governor | Africanews
Kenya's currency, the shilling, which is trading at a historically low rate, has been overvalued for several years, according to the governor of the East African country's central bank.www.africanews.com
Tandale ikiletwa Kenya inakuwa South B.
Kwetu Tandale, tunaita SLUM (kwa viwango vyetu)👇👇
View: https://youtu.be/29yUy6lB8tg?si=xTOjD5ZM7JiQVhQt
Ingekuwa ni Kenya mngeita Middle Class, kama mnavyoita South B, South C ambazo wamejenga Wasomali.
South B, Nairobi👇👇
View: https://youtu.be/HYCUKk7PZJ4?si=oFqf2nixr7Ij-Kr8
Kwa hivyo hii ni slums kama Tandale Kwa viwango vya bongoslum.
View: https://youtu.be/MTPRDPRi_vg?si=QeTctt7DtRCECvcP
As usual vitu vya kupendezesha macho lakini kwa ground economy inajinyea.Sama boy 255 oyaaaa mbilikimo, Nairobi has more than 5 malls under construction na hata hatuko bothered.
![]()
![]()
![]()
![]()
Taking farming to the next level 🔥🔥👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DJkGEwuObRI/?img_index=1&igsh=NnJ5aDUzcDYxaXc1
View attachment 3332357View attachment 3332358
Tandale Kuna estates sio?Hata ukijumlisha na vighorofa vichachehivyo vya Wasomali, hapa hapana tofauti na Tandale