Tanzania huwa hatuna vipaumbele na estates. Watu wana nyumba zao.Tandale Kuna estates sio?
Tanzania huwa hatuna vipaumbele na estates. Watu wana nyumba zao.
Hapo Kenya hizonfew estates za Wasomali.
Hivi Kenya mnaweza nini?
Wasomali, Eritreans, Wazungu, Chinese, ndio wanawajengea nchi.
Na sasa mnataka black Americans. So desperate
Economy ambayo imewanyorosha mara mbili Kwa per Capita.As usual vitu vya kupendezesha macho lakini kwa ground economy inajinyea.
Aisee wachina noma kupandisha maji juu ya flyover sio poaHii nchi kweli kiboko hadi elevated road iko na floods ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View: https://www.instagram.com/reel/DJhWeTKtOrn/?igsh=MTYwMmd0OGVpNG1yZw==
Kenya wameshakariri, Nairobi.Unaambiwa Busia county alone has over 6K Jigger ingested patients. You wonder how comes 2025 we still have mankind busy talking about jiggers .
Mtu ni fukara Hadi ana mafunza miguuni na mikononi
Apparently English language isn't helping them.
View: https://youtu.be/Dd7LpSoxbg0?si=zWWsMwLjrgaOBkvl
Hapo ni area gani?Mpwimbe Ona maisha ya foreigners. Living in estates and driving big cars. ๐คฃ๐คฃ
View attachment 3332397
Tandale ๐คฃHapo ni area gani?
Sema,Tandale ๐คฃ
Huyo ni CBK governor ama hapana? How did that currency stabilize? Mli-export nn meaningful?Unaleta habari mbili tofauti from different times then unajaribu kuzishikanisha ili udanganye watu. The link ni wakati the Kenyan currency was very low against the dollar at 150. Unashare articles ambazo hata hujasoma. Enyewe unaweza kua mzee na ukue mjinga at the same time.
Wacha kelele za chura, si ulisema jana IMF wamesema we devalue the shilling.Huyo ni CBK governor ama hapana? How did that currency stabilize? Mli-export nn meaningful?
Kilimani hata sio a wealthy suburb, kama hujui Nairobi tulia.Sema,
???????????
- Kilimani
- Karen
- Kisituru
- Rosellyn
- Runda
- Muthaiga
Tunajua jinsi hayo maeneo watu wanavyokula "The country"
Mbadala wa IMF๐๐Wacha kelele za chura, si ulisema jana IMF wamesema we devalue the shilling.
State house ya Kenya iko wapi?Kilimani hata sio a wealthy suburb, kama hujui Nairobi tulia.
Kilimani, Nairobi Downtown๐๐Kilimani hata sio a wealthy suburb, kama hujui Nairobi tulia.
MilimaniState house ya Kenya iko wapi?
Unajua maana ya downtown ama unaropokwa tu? This is the only bad road in Kilimani currently na ni ju walifanya shoddy repairs but it will be fixed very soon.Kilimani, Nairobi Downtown๐๐
View attachment 3332430View attachment 3332431View attachment 3332432View attachment 3332434View attachment 3332433
๐ ๐ ๐ ๐Unajua maana ya downtown ama unaropokwa tu? This is the only bad road in Kilimani currently na ni ju walifanya shoddy repairs but it will be fixed very soon.
Afrika Mashariki ilishapata aibu kitambo sanaHata ule Uwanja wao wasipokuwa makini utatutia Aibu Africa Mashariki