Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimepata vi contents vyangu kadhaa about Arusha. Kila nikitaka kupost nahisi uvivu šŸ˜„ acha nivipost bhana.
 
Hakuna anayejali sana corruption yenu ni kwamba tuu, tunawashanga manavyosema mna democracy huku mkiwaacha wachache wamiliki rasilimali yote ya nchi.
Tumeanzisha mifumo mingi sana inayominya mianya ya rushwa. Actually naweza sema Tanzania kwa sasa hakuna utakachoweza fanya kwa ofisi ya serikali bila kupita kwa mfumo.
Kuna siku jamaa yangu mmoja alikuwa anakwenda zake china kununua mzigo wa duka bila kuwa na kibali cha mwajiri ( alikuwa Yuko likizo) Ile amefika airport kuscan tu passport akaombwa barua ya mwajiri Hana safari ikaishia hapohapo
Land yetu inatumika vizuri ndiyo maana hatuna njaa

Kihistoria, tulizuia kutumia rasilimali kwasababu ya hatukuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe. Nyerere akasema madini hayaozi, tukipata uwezo wa kujinufaisha (wataalamu na fedha n.k) tutaanza kuyatumia.

Akaja Mkapa, akaamini sana wawekezaji wa nje akagawa madini hovyo, miaka karibu ishirini hatukufaidika. Kikwete naye akagawa gesi. Magufuli alipokuja akawabana hao wawekezaji na kuweka sheria za nchi kujilinda.

Hii habari ya kuwa hamna rasilimali sijui mmeitoa wapi? Kenya inawezekana mna mafuta mengi sana Turkana na kwenye mpaka wa South Sudan ila kwasababu mmejazana hapo central, hamfikirii kufanya uchunguzi huko north.

Tunasomesha watoto bure mpaka form 4, tunalipa mishahara, miradi mikubwa (SGR over 1000Km) inaendelea, BRT sasa tuko phase 4, Dodoma inajengwa.
Kuna ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji , mikopo ya vikundi kwa halmashauri na kadhalika
Hebu niambie nini kinaendelea Kenya sasa hivi?
Wana miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu.
 
Arusha ni proper city bhana. Huwezi linganisha na hivyo vimji vyao sijui kisumu na vijiji zingine. EAC HQ.
IMG_7384.jpeg
IMG_7383.jpeg
IMG_7379.jpeg
IMG_7375.jpeg
… nairobae vipi hapo mkuu una pingamizi.? 🤣🤣
 
Hii Arusha ama kuna ingine? Hii yenye ikona barabara ya vumbi CBD. 🤣🤣🤣


Arusha Travel Guide | Arusha Tourism - KAYAK
🤣 🤣 🤣
Hebu ipoint hiyo barabara ya vumbi tuone basi 🤣🤣🤣🤣 kumbe umeona hadi barabara za vumbi na hautuambii.?
 
Hii ni kwa hesabu ya kupitisha one barrel kwa $12, aisee kweli ishi na watu vizuri, huwezi juwa kesho itakuwaje.
Ndo maana nawambiaga inatakiwa tumvute mseveni Tena dar kwenye ishu ya sgr, yaani akikubali south Sudan nayo yetu
 
Market cap unaipata kwenye financial statement sio kwenye mdomo
Eeeeeiiii elimu ya Sisiemu. 🤣 🤣 🤣 Nishakuambia market cap is for listed companies lakini lazima uonyeshe upumbavu na ujeuri wako. Sasa kama haipatikani kwa mdomo tupatie market cap za hizo companies zenu ambazo ni private and not listed. 🤣🤣🤣
 
Ndo maana nawambiaga inatakiwa tumvute mseveni Tena dar kwenye ishu ya sgr, yaani akikubali south Sudan nayo yetu
Mi naamini kile kipande cha kufika Bukoba kipo ila hakisemwi kuzubaisha jamaa zetu hawa. Tukifika Mwanza utashangaa kuna tenda inatangazwa. Kumbuka Pande ile kuna soko la Uganda, S.Sudan na Chad
 
Back
Top Bottom