Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kama umeamua kulia nimekwambia lia. 🤣🤣 hii habari nadhani uliipost pia.. 👇🏾View attachment 3338500kwa kiswahili hapo imelezwa hivi:-

Zitajengwa km 3.1 barabara mpyaa
Zipanuliwa km 3.4 barabara iliyokwisha kuwepo.

therefore we gonna have 6.5km of new dual carriage way. Hapo huelewi nini mzee.? 🤣🤣🤣

Finyaaaaaa hio mbilikimo. 🤣🤣🤣
Wewe nduguyo leo ni kichapo tu. 🤣🤣🤣
 
Kwa hio 174km mumefikisha km ngapi sahii as we speak?
chrome_screenshot_May 18, 2025 11_27_08 PM GMT+03_00.png

Lot 1 yenye 112.3 km inajumuisha Nala,veyula, mitumba, ihumwa Iko 91 as at February 2025
Lot 2 from ihumwa to dry port then Nala 62 km Iko 85% tafuta total🤣🤣🤣
Hii ni taarifa kutoka tanroads
 
Niliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.
Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km
IMG_7621.jpeg
IMG_7632.jpeg
hii hapa ingine 👇🏾1.5km
IMG_7627.jpeg
IMG_7633.jpeg
nyingine 👇🏾2.5km
IMG_7635.jpeg
nyingine hii 600 meters
IMG_7634.jpeg
🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani
 
Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
Basi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400
Naomba uchukue km zote za Mombasa metropolitan Mimi ntadili na dodoma tu halafu tufikie mwafaka🤣🤣🤣🤣
 
Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km View attachment 3338506View attachment 3338507hii hapa ingine 👇🏾1.5kmView attachment 3338508View attachment 3338509nyingine 👇🏾2.5kmView attachment 3338510nyingine hii 600 meters View attachment 3338511🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani
Hii Dodoma kama Arizona mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
 
Back
Top Bottom