REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,707
- 11,777
Samia had nothing to do with it, hivi ni vyeo vya asante, nililiongelea hili hapa wiki ikiyopita, kuwa ile kampeni ilikuwa ni zuga tuu.
Ile mwanzo lakini ulisema umeangalia barabara za Dual huko Dodoma through google map, vipi sahii huwezi angalia na hii.? 🤣🤣🤣Wacha kujifanya hujaelewa, tuonyeshe hio 150km kwa map sahii tupime.
Unakwepa Nini sasa . Kwahiyo na Mombasa na kilifi county ni metropolitan 🤣🤣🤣🤩Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
Finyaaaaaa hio mbilikimo. 🤣🤣🤣Hiyo 6.5km Iko wapi? Bro, unachizi. Halafu hiyo 47km wapi imeandikwa kuwa dual carriageway?
Nadhani hawezi kurudi tena kwa hiii. 🤣🤣🤣 sasa hii battle ishakua ngumu kwa mombasa. 🤣🤣🤣 na wala sioni hata hiyo Nairobi ikitoboa.Actually dodoma when completed itakuwa na more than 400km of dual roads View attachment 3338501
We kama umeamua kulia nimekwambia lia. 🤣🤣 hii habari nadhani uliipost pia.. 👇🏾View attachment 3338500kwa kiswahili hapo imelezwa hivi:-
Zitajengwa km 3.1 barabara mpyaa
Zipanuliwa km 3.4 barabara iliyokwisha kuwepo.
therefore we gonna have 6.5km of new dual carriage way. Hapo huelewi nini mzee.? 🤣🤣🤣
Wewe nduguyo leo ni kichapo tu. 🤣🤣🤣Finyaaaaaa hio mbilikimo. 🤣🤣🤣
Niliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.Ile mwanzo lakini ulisema umeangalia barabara za Dual huko Dodoma through google map, vipi sahii huwezi angalia na hii.? 🤣🤣🤣
Kwa hio 174km mumefikisha km ngapi sahii as we speak?
Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4kmNiliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.
Kaka nafurahi sana. 🤣🤣🤣 piga mbwaaa.View attachment 3338505
Lot 1 yenye 112.3 km inajumuisha Nala,veyula, mitumba, ihumwa Iko 91 as at February 2025
Lot 2 from ihumwa to dry port then Nala 62 km Iko 85% tafuta total🤣🤣🤣
Hii ni taarifa kutoka tanroads
🤣🤣🤣🤣Kaka nafurahi sana. 🤣🤣🤣 piga mbwaaa.
Dodoma inachukuliwa poa ila ni yamoto kinoma. Dom sio ya kawaida kabisa. Mji unakua kwa fujo mno.🤣🤣🤣🤣
Ukunyani nzima haina highway ya quality kama hiiNiliangalia na hakuna cha maana, town center ina dual carriageway moja. 🤣🤣🤣 Na ni a major road.
Basi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400Hizi argument za metro vs city nilikuambia sitozirudia bro. If you can't understand simple metrics of urbanization then this discussion is not for you.🚮🚮🚮
Achukue na zile za kisumu pia. Halafu sisi tutamaliza tu na Dodoma ili tufunge huu mjadala.Basi kwanza nikubali tuweke na hiyo kilifi yako dodoma tu itakuwa dual roads zaid ya km 400
Naomba uchukue km zote za Mombasa metropolitan Mimi ntadili na dodoma tu halafu tufikie mwafaka🤣🤣🤣🤣
Yes very true, highways zetu hua na interchanges/flyovers kwa intersections. This is very mediocre for a highway.Ukunyani nzima haina highway ya quality kama hii
View: https://youtube.com/shorts/5cLUDLcE2aA?si=4DcZdBINFmXNbGDS
Hii Dodoma kama Arizona mwanangu 😘 😘 😍 😍 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km View attachment 3338506View attachment 3338507hii hapa ingine 👇🏾1.5kmView attachment 3338508View attachment 3338509nyingine 👇🏾2.5kmView attachment 3338510nyingine hii 600 meters View attachment 3338511🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani
Au wachukue za nchi nzima zinazojengwa na planned sisi tudeal na mikoa mitatu Dom,moro, mbeya🤣🤣🤣🤣Achukue na zile za kisumu pia. Halafu sisi tutamaliza tu na Dodoma ili tufunge huu mjadala.
Unatafuta na magnifying glass. 🤣🤣Haya hizi nilipima ili Ukirudi watu wauone upumbavu wako. Hizi hapa dual za town. 👇🏾NCC link 1.4km View attachment 3338506View attachment 3338507hii hapa ingine 👇🏾1.5kmView attachment 3338508View attachment 3338509nyingine 👇🏾2.5kmView attachment 3338510nyingine hii 600 meters View attachment 3338511🤣🤣🤣 sasa sijui unajificha kichaka gani