Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha upumbavu mzee. Kama umeshindwa kutetea mambo yako ya kisiasa hapa nchini basi kaa kimya. Mkenya hana mamlaka yoyote ya kufanya hapa TZ. Hao wanatafuta attention tu.
commercial activism! Paid thugs.
Kama kweli ni wanaharakati, wadeal na jiggers, njaa na wizi wa ardhi uliofanywa na Kenyatta.
 
FREE LISSU

Image
 
Top 10 countries with the largest slum populations in the world as of early 2025


View attachment 3339109
Ethiopia, the Philippines, and Kenya complete the list with slum populations between 10 and 22 million. In all three cases, rapid population growth has not been matched by corresponding improvements in affordable housing or basic services.
kunyan uwa wanaangaika sana mitandaoni kutafuta Tanzania kwenye list kama hizi 😀😀
 
Amerudi gerezani ukonga. Tanzania tupo mbele sana katika kunusa vurugu.
Kuna kikundi kilikuwa kimekuwa organized na nchi ya ubelgiji kupitia kenya kuleta fujo kwenye uchaguzi. Tumegusa kidogo tu, wameanza kujitokeza 🤣 🤣 🤣 🤣
Na tutawafinya majibwa hawa. 🤣🤣 Sie tushapanga kutocheka na kima.
 
Back
Top Bottom