Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu hajui chochote, ndege za ATCL zilikuwa na shida ya engine kutokana na engine za rolls Royce kupata changamoto kote ulimwenguni.
 
Utaratibu gani utautumia kuharibu maslahi ya wazungu kaka.? Kama ni makosa yalishafanywa na watangulizi wake, sasa tuyaache tu hivyo hivyo kwasababu watangulizi walikosea.? Hatuwezi kuliendesha hili taifa kwa style hiyo my brother. Nia ya JPM ilikua wazi kabisa, na hakukua na njia ya mkato ispokua ni kuivunja mikataba iliyosainiwa, and glad we did it, hizo hasara zingine zinahimilika.

Listen, Nyerere aliwahi kuwakatalia barick mkataba wao wa hovyo kuchimba madini Tz na kuwaeleza wazi kwamba sio lazima madini yachimbwe wakati ule, Vizazi vijavyo vitakapokuwa tayari vitachimba, kwa bahati mbaya Mkapa akaruhusu kwa vipingele vibovu kuliko vile alivyopinga Nyerere, sasa je Magufuli nae angeacha hivyo hivyo.? Hivi nyinyi mnalitakia mema hili taifa kweli.? Au mnashabikia tu.?
 
Watu wanakua na kumbukumbu kama za kuku, wameshasahau haya yote, Lissu aliside na mabeberu wa makinikia tena alikua anawatetea waendelee kutunyonya wasiguswe
 
Watu wengi wa chadema wanafata mkumbo tu.. na tukichekanao watailetea shida hii Tanzania.. we must deal with them perpenducular..
 

Hivi ukifuatilia kwanza ushauri aliowahi utoa kipindi kile kabla ya kuvunja mkataba.
Moja ilikuwa kuwaita na kuongeza Ile ownership ila sisi tukakataa tukakimbilia kuvunja mikataba na bado kile kilichoshauriwa tukaja kufanya kwa mikataba iliyofuata 🀣🀣🀣🀣
 
Watu wengi wa chadema wanafata mkumbo tu.. na tukichekanao watailetea shida hii Tanzania.. we must deal with them perpenducular..
Sasa huoni kama hapo nyinyi ndo mnamihemko, umenunua cash ndege Ina miaka minne haifanyi kazi.
Na sasa mnafikiria jinsi ya kuachana nazo maana vipuri imekuwa shida. Hivi tungekuwa tumezikopa hata kulipa hiyo 30% SI tungewaachia tu wakabeba ndege yao🀣🀣🀣🀣
 
Most units are three bedrooms, self contained. Better than your sprawling uswazi hovels. Najua inawauma ila zoea tu
 
Matatizo ya madini yaliletwa na Mkapa na ukiona mtu anatetea ujinga jua ana masilahi nao mama simpendi ila kwa hili la wakunya kuja kwetu kusikiliza kesi zetu big no namuunga mkono 100% Ningekuwa mm ni yeye hata kama ni mbwayi acha mbwayi pamoja na Madudu ya Mkapa aliomba msamaha kwenye kitabu chake JPM angeacha nyumba ianguke au kuna uwezo wa kukarabati na maisha yakaendelea
 
Kwahiyo kumbe waliongia mikataba sio wapinzani walikuwa ni ccm, sasa unaanzaje kusema flani ni mhaini wakati tayar Kuna mtu wenu tayar ashatuuza kwa kuingia mikataba mibovu?
Ni sawa na sasa hivi tunakopa Kila siku ila mtu akiongelea kuwa tunakopa sana adui ila huko mbeleni madeni yakituzid akaja mtu wenu akaanza kuwabinya ili mlipe deni mtahamia huko na kumuona malaika.🀣🀩🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…