Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Mkuu kwenye hili tutapingana wenyewe kwa wenyewe, Lisu ni traitor na hastahili maisha hata siku mbili juu ya huu uso wa dunia, hivi inahitaji elimu ya darasa la ngapi kujua kwamba lisu ni msaliti wa hili taifa.? JPM aliwahi kusema hadharani maneno haya. 👇🏾Omba yasikukute , maisha Huwa ni mzunguko , Leo unaweza kuona Haina shida ila kesho ukajikuta ni mkimbizi .
Hata hawa unaowatetea Leo nao ni mapandikizi ya hao mabepari unaowaponda na ndio maana hawaheshimiki ona wenzako huko walioamua kutetea rasilimali na raia wao wanavyoheshimika duniani
View: https://youtu.be/b5bRxLfG44g?si=BGrDG7s803FNUZkn. Huyo mpumbavu ni wakufa tu. Naona wanacheka cheka nae tu.