Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Breaking news..
Omondi discovered in the US begging after bad mouthing Diamond!
 
Says a poor uncircumcised bafoon 🚮🤣🤣. A Regular stupid monkey. 🐒. Bila misaada ya kanisa sahii hata Nairobi ungekua unaiona kwenye magazeti tu.
IMG_0519.jpeg
 
Uchaguzi Gani wa Tz mkuu. Wakunya hawana uwezo wakuvuruga uchaguzi wa Tz, though as it stands ni heri huo uchaguzi usiweko kabisa. Nchi hii inaongozwa na vilaza wa mwisho, average to low IQ score, akili zao ni kupiga tu.
Pamoja na hayo yote, namsifu Rais kwa kusimama kidete kwenye hili la wakunya kudhani Tanzania ni Kunya, trying to infiltrate their bad manners, Tena to me deporting them wasn't enough, Hawa walitakiwa waunganishwe kwenye kesi. Wakunya ni viumbe Fulani wasio na malezi, they have to be manacled.
Binafsi sikubaliani nae kwenye mambo mengi ila kwa kilichotokea juzi na jana namuunga mkono.
 
But did Martha Karua or Justice Mutunga insult anyone? The insults r from te socialmedia n the result of these two being denied entry to Tanzania!
Hao wanafiki wanatafuta nini Tanzania, kwao matatizo tele kwa nini wasishughulike na matatizo ya nchi yao!
Hivi mzee na wewe umeingia mkenge wa hawa paid activists!
Kazi yao si ni kumtoa Ruto madarakani, je wamefanikiwa?
 
Back
Top Bottom