Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Dom outer ring road progress 👇🏾
hapo kwenye juntion ya kuelekea goverment city watajenga yale ma interchange ya maduara yenya kundurendas hupenda. 👇🏾
Sisupport kina lisu kuwa ndani ila hili la wakenya acha tuwaoneshe jeuri yetu wanatukana sana hawana adabu.Kwa namna walivyokuwa wanatukana Jana huko mitandaoni, inafika hatua Hadi wanawapanda Police kichwani kwa kuvamia official pages zao, sijui itakuwaje.
Wewe hujui yaliyonyuma ya Lissu. Acha vyombo vya usalama vifanye kazi.Sisupport kina lisu kuwa ndani ila hili la wakenya acha tuwaoneshe jeuri yetu wanatukana sana hawana adabu.
Haa kumbe ndio wanafanya hivyo!?Kwa namna walivyokuwa wanatukana Jana huko mitandaoni, inafika hatua Hadi wanawapanda Police kichwani kwa kuvamia official pages zao, sijui itakuwaje.



Uko na design?Dom outer ring road progress 👇🏾View attachment 3341292hapo kwenye juntion ya kuelekea goverment city watajenga yale ma interchange ya maduara yenya kundurendas hupenda. 👇🏾View attachment 3341294
Hapana kaka.Uko na design?
Shida huyo jamaa pia amekuwa akitukana sana Rais wa Kenya na serikali yake kwenye mitandao ya Kijamii, sijui Kasongo kama atajigusa kumsaidia, kwa kifupi ameyakanyaga.Haa kumbe ndio wanafanya hivyo!?
Baaaas wameyakanyaga,huyo jamaa hawatamsikia kwa muda mrefu sana labda serikali kama serikali ya Kenya iingilie kati tena kiheshima.
Huwenda watamuonea huruma kaka😂😂😂😂.Shida huyo jamaa pia amekuwa akitukana sana Rais wa Kenya na serikali yake kwenye mitandao ya Kijamii, sijui Kasongo kama atajigusa kumsaidia, kwa kifupi ameyakanyaga.
Chumba kimoja
So hao WB, IMF na Japan siku hizi locals? Ama what does local mean?china, world bank, IMF na japan ni deni ya wakenya au sio 😂😂😂😂😂
Upende usipende just know that more than 60% of Kenyan debts ni za wakenya, huko bongolala 90% of your debts ni za foreigners.Wakenya wenyewe wanaweka simu kama bond au wakenya wapi? 😂😂 Wakenya ndio wanawapaga pesa za kulipa mishahara?
Shida huyo jamaa pia amekuwa akitukana sana Rais wa Kenya na serikali yake kwenye mitandao ya Kijamii, sijui Kasongo kama atajigusa kumsaidia, kwa kifupi ameyakanyaga.