President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mzee yaani nyie wawili ndio waelewa kuliko watanzania zaidi ya 80M. Unaoufanya ni wendawazimu.Kuna watu wapumbavu sana humu ndani kwenye suala zima la uelewa!
Mzee yaani nyie wawili ndio waelewa kuliko watanzania zaidi ya 80M. Unaoufanya ni wendawazimu.Kuna watu wapumbavu sana humu ndani kwenye suala zima la uelewa!
Sasa unajiita vipi Mpwimbe electronics nafaka na huuzi nafaka!Tangu lini mimi nauza nafaka
Hatuwezi waonyesha vipofu kila siku.Just post a video which rivals kijani ridge and let people be the judge, wacha siasa
Wewe umeuliza nimekujibu.Unaona huoni busara kujadili jambo la Lissu kwenye uzi huu lakini wewe unajadili. Upo na akili timamu kweli?
Nimejiita wapi?Sasa unajiita vipi Mpwimbe electronics nafaka na huuzi nafaka!
Na kama ni mambo ya kitapeli nchi hii inatapeliwa kila siku.
Mtu hana sababu za kumtumia Lissu kupata anachotaka.
Akileta uchawa anapelekwa mpaka chumbani.
View: https://youtu.be/1h9Ap2lkLqM?si=SZYPYNBwNkcBVtc3
Sasa wameuliwa unalo la kufanya? Na Lisu atahukumiwa kunyongwa mpaka kufa.Wewe umeuliza nimekujibu.
Ulitaka nikakujiby wapi wakati umeleta hapa.
In short kuua watu wasio hata tishio kwa usalama ni USHAMBA na ROHO ya katili.
====
Mtu kama huyu ambaye hana wafuasi, hana pesa, hana silaha hata wembe.
Unamuua.
Kumwaga damu za watu wasio na hatia.
Hata chakula tunachojivunia, ipo siku kitakosekana.
Huwezi kumwaga damu kila mara damu za watu wasio na hatia kwenye ardhi then ukategema ardhi hiyo iendelee kukuzalishia mazao kila mwaka.
View attachment 3341930
Tulipigania uhuru wa nini?Duh kaka mifano uliyotoa kidogo kama haiendani na kitokeacho Tanzania kwa sasa.
-Mauaji ya Gaza yanaendana na hili la Tanzania!?
-Kupigania uhuru wa nchi toka kwa mkoloni yanaendana na hili la Tanzania!?
Kuna baadhi ya mambo ya kidiplomasia ni ya kutatuliwa within na Kuna mengine ni ya kutatuliwa kwa msukumo wa nje,ila inategemea huo msukumo wa nje ni wa namna gani.
Msukumo wa nje kutoka kwa wanaharakati wa Kenya hapana ulikua wa kuteteresha amani.
Nenda kwao Kenya uone walivyopaharibu,walitaka kuleta mentality hiyo hiyo Tanzania.
Hii sio kitu kizuri.
Ni sawa.Sasa wameuliwa unalo la kufanya? Na Lisu atahukumiwa kunyongwa mpaka kufa.
Amani inalindwa kwa Damu siyo porojo zako
Anawaambia wazee wa suti na kaunda ati "identity yuaselfu, ninyi ni akina nani" 😂😂😂
View: https://x.com/danchepta/status/1925244086958817730?s=46
Wakirudi huwa hawasemi wamefanywa nini na hata wakisema hawasemi ukweli wote, huyu harudii tena. 😂😂😂
Kilometers 474 kutoka Dar es Salaam.
View: https://x.com/c_nyakundih/status/1925488581461582313?s=46
Kwani hamjaomba?I thought you said we'd come begging for his release the whole week! What happened?
Huyo nyang'au amefinywa au hakufinywa?😁I thought you said we'd come begging for his release the whole week! What happened?
Hakuna namna. Lazima achezee kamba. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ni sawa.
Anyongwe tu.
Ili wanyongaji waishi miaka 3,000.
Magufuli aliua sana watu ila na yeye kwasasa amebaki FUVU meno nje.
Kitu alichofanyiwa hawezi sema publicKwani hamjaomba?
Mlitupa masaa 24 tukawapuuza.
Leo siku nzima mnaomba na barua mkaandika.
Kashikishwa adabu akatupwa Ukunda.
Hata wewe UTAKUFAHakuna namna. Lazima achezee kamba. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hiloHata wewe UTAKUFA
UTAKUFA pia.Sisi watanzania wa kweli tumekubaliana TL kunyongwa na tunafurahia hilo