Aisee unarudia swali lile lile kwa mtindo tofauti.Downfall ya nchi hii inaenda kutokea kutokana na watu wenye akili ndogo sana inayofanya maamuzi iliyopo.
Kwamba hao wanaharakati 6, walikuwa wanakuja mahakamani kufanya nchi isitawalike??
Wacha niufunge huu mjadala mkuu.
Tanzania inafahamika ina madhaifu yake ila taasisi yake sio dhaifu kiasi iruhusu nchi ipate downfall.